TRA nyinyi sio wanyama lakini kwa hili hapana

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,111
Reaction score
1,607
Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.

Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.

Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati mnachukuwa Kodi kwenye kampuni husika kutokana na MB nilizonunua.

Mimi ninunue dakaki kwajili ya kuongea na mteja wangu wakati huo mnachukuwa Kodi kutoka Kwa mtandao husika.

Leo mnataka nilipe Kodi ya kila mwezi yaani Kwa mwaka mnapanga naingiza milion 4. Bila kufanya research yoyote.

Hivi mnaujua mtaa vizuri yaani namaanisha huku mtaani mnakujua vizuri yaani namaanisha hivi haya Maisha ya mtaani mnayajua wakuu?

Nifanye mishe mishe za mtaa ili nipate Hela ya kufungua duka ambalo mtakuja kudai Kodi zenu.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Kodi ya pango la nyumba ambayo mnachukuwa Kodi yenu kila mwaka ya jengo.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Hela ya Ada Kwa madogo ambayo mnachukuwa Kodi kwenye hizo shule.

Nifanye mishe mishe nipate nauli nauli ye kwenda kuonana Na mteja nauli ambayo italipa Kodi ya Chombo cha Moto ninachopanda Kwa usafiri.

Leo hii mmeamua kukaa Meza moja na kuona hili swala la Hawa wanyonge lazima liende Tu.

Niseme ukweli Tu hili Jambo ni letu Sisi wanaume ndio ambalo limetulenga mana kila kitu ni chetu sisi hapa duniani na HII DUNIA HAINA HURUMA KWA MWANAUME HATA KIDOGO.

Okay tumelipokea hili jambo lenu lakini hii mtalipa Kwa namna yoyote.Siku moja mmoja wenu atakapoachishwa Kazi ndio ataelewa nini maana ya MTAA.

#KIDUMUCHAMATAWALA.

#FidQsiriyamtungi
 
TRA wangejikita kuishauri Serikali kwenye matumizi yao yawe value for money sio kila kukicha wanawaza kuongeza kodi ambayo baadae unasikia tena CAG anatoa taarifa tofauti wao huwa hawawazi kuwakomboa Watanzania ni kuwanyonga kila kukicha nilipe Kodi ya Truck zaidi ya 40m kulitangaza kuliuza mnataka pesa nikiliuza tena mnataka kodi kutoka kwenye matzo huo si unyama kabisa huo mbona Nchi zingine hawana hizi kodi zenu kandamizi..
 
Wametukosea sana
 
Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.

Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.

Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati mnachukuwa Kodi kwenye kampuni husika kutokana na MB nilizonunua.

Mimi ninunue dakaki kwajili ya kuongea na mteja wangu wakati huo mnachukuwa Kodi kutoka Kwa mtandao husika.

Leo mnataka nilipe Kodi ya kila mwezi yaani Kwa mwaka mnapanga naingiza milion 4. Bila kufanya research yoyote.

Hivi mnaujua mtaa vizuri yaani namaanisha huku mtaani mnakujua vizuri yaani namaanisha hivi haya Maisha ya mtaani mnayajua wakuu?

Nifanye mishe mishe za mtaa ili nipate Hela ya kufungua duka ambalo mtakuja kudai Kodi zenu.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Kodi ya pango la nyumba ambayo mnachukuwa Kodi yenu kila mwaka ya jengo.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Hela ya Ada Kwa madogo ambayo mnachukuwa Kodi kwenye hizo shule.

Nifanye mishe mishe nipate nauli nauli ye kwenda kuonana Na mteja nauli ambayo italipa Kodi ya Chombo cha Moto ninachopanda Kwa usafiri.

Leo hii mmeamua kukaa Meza moja na kuona hili swala la Hawa wanyonge lazima liende Tu.

Niseme ukweli Tu hili Jambo ni letu Sisi wanaume ndio ambalo limetulenga mana kila kitu ni chetu sisi hapa duniani na HII DUNIA HAINA HURUMA KWA MWANAUME HATA KIDOGO.

Okay tumelipokea hili jambo lenu lakini hii mtalipa Kwa namna yoyote.Siku moja mmoja wenu atakapoachishwa Kazi ndio ataelewa nini maana ya MTAA.

#KIDUMUCHAMATAWALA.

#FidQsiriyamtungi
Nadhani lengo ni wale ambao hawajajisajili TRA lakini wana magodown wanauza bodhaa zao online.

Sidhani kama mtu ambaye ana biashara yake na TIN lakini anafanya matangazo mtandaoni, inahesabika kama biashara mpya.
 
Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.

Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.

Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati mnachukuwa Kodi kwenye kampuni husika kutokana na MB nilizonunua.

Mimi ninunue dakaki kwajili ya kuongea na mteja wangu wakati huo mnachukuwa Kodi kutoka Kwa mtandao husika.

Leo mnataka nilipe Kodi ya kila mwezi yaani Kwa mwaka mnapanga naingiza milion 4. Bila kufanya research yoyote.

Hivi mnaujua mtaa vizuri yaani namaanisha huku mtaani mnakujua vizuri yaani namaanisha hivi haya Maisha ya mtaani mnayajua wakuu?

Nifanye mishe mishe za mtaa ili nipate Hela ya kufungua duka ambalo mtakuja kudai Kodi zenu.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Kodi ya pango la nyumba ambayo mnachukuwa Kodi yenu kila mwaka ya jengo.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Hela ya Ada Kwa madogo ambayo mnachukuwa Kodi kwenye hizo shule.

Nifanye mishe mishe nipate nauli nauli ye kwenda kuonana Na mteja nauli ambayo italipa Kodi ya Chombo cha Moto ninachopanda Kwa usafiri.

Leo hii mmeamua kukaa Meza moja na kuona hili swala la Hawa wanyonge lazima liende Tu.

Niseme ukweli Tu hili Jambo ni letu Sisi wanaume ndio ambalo limetulenga mana kila kitu ni chetu sisi hapa duniani na HII DUNIA HAINA HURUMA KWA MWANAUME HATA KIDOGO.

Okay tumelipokea hili jambo lenu lakini hii mtalipa Kwa namna yoyote.Siku moja mmoja wenu atakapoachishwa Kazi ndio ataelewa nini maana ya MTAA.

#KIDUMUCHAMATAWALA.

#FidQsiriyamtungi
Kodi is inevitable haikwepeki
 
Kila mtanzania na atafikiwa kwa muda wake ila tutalia kilio kimoja. Vijana wengi tulikuwa na ile kauli "Mimi na siasa wapi na wapi" ila kwasasa kila kijana ataijua na kuielewa siasa.
Siasa ina Rangi mbili Tu.
Black and White.

Ukiwa Kwa Mbali unaona inaonekana kama ni nyeupe vile lakini ukisogea karibu ni nyeusi.
 
Mwigulu na timu yake uchumi kufikiri kwao kumefikia mwisho,ndio maana hawana jipya kwenye ubunifu wa mapato zaidi ya kuelekeza kila kitu kumkamua mwananchi,tozo na hii kodi ya biashara za mitandaoni yote ni kumdidimiza mwananchi tu,yan wanashindwa hata kuongeza % ndogo tu ya kodi kwenye madini huko wao idea yao ni kuwabana wananchi tu!
 
Back
Top Bottom