Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake
Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi vichache
Hawa viumbe wana sifa za kuu mbili..
Sifa za ndani na sifa za nje
Sifa za ndani
Wengi...
Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu.
Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu.
Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024.
Wanaharakati hao...
Dada: money penny nisaidie
Money penny: ndio boss
Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa
Money penny: ndio boss
Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
Kuna baadhi ya wanawake wenye tabia ya kutothamini jasho wala kuhurumia nguvu za waume zao.
Watanzania walio wengi kipato chetu ni cha kuunga unga ili kipato chako kikuwezeshe kutimiza mahitaji ya familia yako na wakati huo uweke akiba kwa ajili ya kesho kunahitaji mahesabu ya hali ya juu sana...
Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha wanawake, nikataka angalau nikawaunge mkono Wanawake hao ila sijafanikiwa kukiona.
Nimeuliza...
Habari wana MMU,
Poleni na majukumu ya kila siku, Ipo hivi mimi ni kijana 24 yrs old. Nimelala nimefanya mapenzi na wanawake wengi sana niliowazidi umri, walionizidi umri, agemates. Sikuishia hapo nimekula wake za watu pia mke wa braza nilimla kipindi niko form six. Ila nilichogundua kila...
Naendelea kukusanya data kila siku.
Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake
wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo?
Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi.
Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa wito kwa wanawake wa Mkoa wa Lindi kuwa na maamuzi na ujasiri Mkubwa katika kuyafikia malengo bila kugeuka nyuma .
Mhe. Telack ametoa wito huo katika hafla iliyoandaliwa na wome's Gala 2024 yenye lengo la kuwakutanisha wanawake wakada tofauti...
SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia .
Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na...
"Sitapenda tena. Mara ya mwisho nilipopenda, ilikaribia kugharimu kazi yangu na nadhani ndoa inaweza kufanya vibaya." Chris Brown
"Ninaelewa ndoa ni nini lakini sitaki kuoa kwa sababu ni ukatili sana kwa wanaume endapo mtaachana. Ninaelewa ndoa lakini sidhani kama inafaa kwa wanaume. Sio kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.