wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mnawatenda nini waume zenu, mbona makasiriko yamezidi sana huku vijiweni?

    Nilipita somewhere kwenye kijiwe cha kahawa mida ya jioni, nikakutana na waume za watu wanalaani vikali wake na ndoa zao, kiufupi wanajazana sumu. Nilijikuta mdomo wazi baada ya jibaba limoja kumkandia mkewe mpaka kufika hatua ya kububujikwa machozi, alibebelea kijifuko chenye kitoweo ndani...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake watakiwa kuacha Kupenda Kutumia 'Vilainishi' wakati wa Tendo la Ndoa bila Maelekezo Maalum ya Madaktari

    Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika...
  4. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha wanawake kuwa wabinafsi kwenye mali

    Kama mada inavyojieleza Hivi ni nini hasa kinafanya wanawake kuwa wabinafsi kwenye suala zima la mali na mambo mengine kiuchumi? Mfano mpo kwenye ndoa mke akiwa tu na kipato kikubwa kumzidi mume lazima ataleta ubinafsi katika umliki wa mali mlizochuma pamoja kisa tu yeye kachangia kikubwa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Komwe ni nini na lina uhusiano gani na wanawake?

    Komwe ni nini? Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake? Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ni ajira gani ambazo wanaume wanalipwa zaidi ya wanawake?

    Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwamaliza kinyama sana wanaume wanaojifanya wanawajua wanawake

    Familia zenu zipo salama? Toka zamani till now, wale wanaume wanaojifanya ni 'maromantiki' mno na kujifanya wanatufundisha sisi wanaume wengine jinsi ya ku care wanawake, huadhibiwa kikatili sana na wanawake. Mwisho huishia kwenye fedheha na aibu. Huwezi kutafuta cheap popolarity kwa...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa Kanyelamumo, wanajisaidiaje washroom?

    Wanawake wanaovaa Kanyelamumo, wanajisaidiaje washroom? Uzi tayari
  9. City Owl

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya ma-file ya wanawake

    Wakuu, Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea. Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you' Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi uliopita, kisha, pamoja na uzuri na utamu wake, nikampotezea baada ya kujua kaolewa. Mimi hukwepa wake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chris Mauki elimu yake ya saikolojia ni against wanaume tu?

    Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Asilimia 70 ya wanawake walioolewa hawawapendi waume zao

    Habarini, Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya: 1) Watakwambia hivi (nawanukuu) "Yani huyu mume nilie nae wala hata sikuwa namuwaza, alitumia mwaka mzima kunitongoza, nilimzungusha...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wanashiriki kuwanyanyasa wenzao mtandaoni?

    Wakuu, Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza Judo"🤣🤣🤣🤣 Hawana huruma hata kidogo. Jamani huu ni unyanyasaji, unaitwa Body Shaming Lakini wengine...
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

    Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wanawake wenu?

    Good evening JF, Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako labda mguu, jicho, nywele chaajabu mwanaume wake hamsifii yaani hata kusema "you are beautiful" hakuambiii ukipendeza...
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Leo hii nakimbia wanawake! Haya ni maajabu, sikuwahi kuwaza

    kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure...
  18. Selwa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana

    Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani. Wizi ilikuwa kiasi kidogo ila mkinga kapambana mwizi kapatikana kisha karudi darasani. me nilimuacha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

    Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao. Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
  20. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Back
Top Bottom