wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

    Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao. Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
  2. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tabia ya kuji-edit uzuri inakera, tuhurumieni

    Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu. Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
  4. Dumuzii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa vyuoni mtaharibu uchumi wa nchi.

    Ipo hivii hawa wanawake ndio wahusika namba moja kwa kudate na masponsa. Na hawa masponsa wengi wao ndio viongozi wetu au ni watu walio kwenye vitengo vikubwa vikubwa wakiendesha taasisi au makampuni yanayo chakata uchumi wa taifa. Sasa ni hivi nyie wanawake mnawaambukiza ma uti,kaswende na...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwanini COVID-19 iliondoa wanaume wengi kuliko wanawake

    Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao Tutuubu wanaume
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

    Salaam, Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba katika maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako. Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo: 1. Mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae 2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia...
  7. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wa Afrika/blacks wanavutiwa zaidi na wanawake wenye makalio makubwa sana?

    Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao huvutiwa zaidi na wanawake wenye makalio madogo?
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa. Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

    Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu. Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo yanapoanza kukaa sawa panapokuwa na chanzo cha kipato, nguvu ya pesa inakuwepo unaanza kusaidia nyumbani...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni vikao wakati wa tendo

    Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati. Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wa mjini huwa wanapenda kuvaa miwani oversize?

    Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan, ahimiza kudumisha Umoja

    https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wazuri sana wanakataa wanaume?

    Ivi ushawahi kujiuliza kwanini 1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume? Namaanisha A. Mzuri wa umbo B. Mzuri wa kili C. Mzuri wa utafutaji D. Mzuri wa Dini E. Mzuri wa Tabia na maadili Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu, Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

    Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Rais asilindwe na hao PSU wa Kike anaowapenda na kuwang'ang'ania kwa Mapungufu yao kadha wa kadha mnasema tunawachukia Wanawake

    Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda. Najua wale wa PSU mpo sana hapa...
Back
Top Bottom