wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Tems Baby ndie Msanii Bomba na Mzuri Kwa upande wa wanawake Africa.

    Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako. Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage. Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo...
  2. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  3. brave one

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bangladesh chini ya watawala wanawake wawili marafiki waliogeuka mahasimu

    Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa Khaleda Zia kisha akaja Sheikh Hasina halafu akarudia Zia tena ndipo akarudi Hasina tena kuanzia mwaka...
  5. Gol D Roger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli baadhi ya wanawake hawaridhiki

    Ni hivi, huyu bibie kama miaka miwil nyuma hivi nilikua sijapata kazi ya maana, yaani ilikua nafanya kazi hii narukia hii, au nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja. Kama mnavyojua kazi na agencies, kama kazi zipo warehouse basi mnaenda kama hamna mnatulia. Basi huo ndiyo ulikua mtindo so nikawa...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazo fyatu: Kuna michezo ingewafaa wanawake zaidi na mengine ingebaki ya wanaume tu

    Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi. Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa sababu hata wengi wa wanawake wenyewe wanavutiwa zaidi na timu za mpira wa kiume kuliko timu zao. Mimi...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi wanawake wote niliowahi kuwaumiza (Single Mothers)

    Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani. Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi). Najua wengi mtajiuliza ni nini haswa kilichofanya...
  9. Funny boe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajue wanawake japo kwa uchache tu

    Kuna watu hasa wanaume wamekuwa wakihangaika sana kutaka kujua au kuvifahamu hivi viumbe "wanawake". Sasa hizi Ni baadhi ya tips kuvihusu hivyo viumbe japo Ni kwa uchache tu NB: TUISHI NAVYO KWA AKILI TU MAMBO YATAKAYO KUSHANGAZA KUHUSU MWANAMKE. Kama wewe ni mwanaume na unasumbuka kumjua...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Olimpiki Siku ya 4: Soka la Wanawake, Ujerumani 4-1 Zambia

    LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1 Mpira Wa Miguu (Wanawake) Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1 Handball Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26 Mpira wa Mikono-Volley Ball (Wanawake) Poland 3-1 Kenya Mpira wa Kikapu (Wanaume) Marekani 96-83 Sudani Kusini Timu Mpira wa...
  11. Gulio Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

    Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri. Ila moyoni wengi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  13. MUCOS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.

    Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume. Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
  15. kiredio Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunaona, wanawake wanasikiliza

    ......
  16. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini wanashangaa baadhi ya wanaume wenye magari kuwa na maisha ya kuungaunga!

    Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taasisi za wanawake Iran washinikiza wanawake wawili wanaharakati wasinyongwe

    Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
  18. The Eric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda kudate wanawake wenye kazi gani/carrer

    Salaam Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi 😅😅😅 Katika kumi na nane za kula apple 🍎 kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni worldwide). Binafsi yangu nawapenda polisi yaani askari wakike huwa wananitoa udenda vibaya mno, kuna wanao...
  19. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wanawake Vijana

    Mwandishi - Diane Walls. Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu. Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima, alimtazama vizuri, akamwomba aketi, akamtazama moja kwa moja machoni, na kusema jambo ambalo...
Back
Top Bottom