Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu...
Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake – Mtazamo wa Jamii Yetu
Wakuu, natumai wote mpo salama. Leo naomba tujadili jambo ambalo linaonekana dogo lakini linagusa maadili, utamaduni na mitazamo ya kisasa
uvaaji wa vikuku miguuni kwa wanawake, hasa wanapoviacha vionekane hadharani.
Katika baadhi...
Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao.
ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum
1.macho : Kuna
2.sikio : kusikia
3.pua: kunusa
4.ukimi : kuonja
5.ngozi : kuhisi
Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume
Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini?
Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na Mbaga Jr?
Ngoja niwape siri enyi wanawake wenzangu.
Mwanaume anachoka na style moja.
Huwa tu hawana...
Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya.
Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja.
Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo.
Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali.
Haw hapa.
aung san suu...
Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba
Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.
Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...
Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.
Nimejaribu...
tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu.
Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe.
Yangu hayo tu.
Akionekana kutofurahia baadhi ya kauli, picha na maandiko mbalimbali mitandaoni, kwenye kile alichokiita kama Makelele ya mwenye siasa na yenye kuwahusu wanawake wanasiasa, Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye pia ni mtia nia ya Ubunge kupitia ACT Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025, ametuma...
Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata .....
Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mtiifu kwa mwanaume lakini siku ambayo akijipata ni lazima abadilike...
Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba
Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo...
SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza jukumu la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake waliokidhi vigezo kwa kuzingatia Sheria, taratibu...
Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii.
Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni.
Wanunuaji wazuri wa makolokoro,
Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi
Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi
Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani
Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi
Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana.
Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo
Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk
Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue...
Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja.
Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na...
Kiungo mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho, ameweka wazi maisha yake binafsi kuwa hajaoa mpaka sasa, lakini anataka mwanamke ambaye atampenda kutoka moyoni na si kwa sababu ya pesa zake au umaarufu alionao.
Akizungumza na Nipashe Digital, akiwa na kikosi cha timu yake mazoezini, Uwanja wa KMC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.