wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAMWA yataka wanawake watakaojitokeza kutia nia kwenye Uchaguzi waungwe mkono

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono na jamii ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi. Ushauri huo ameutoa Jijini Dodoma katika...
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Darasa Maalum Kwa Wanawake Wote Wenye Kusumbuliwa Na Chunusi Sugu

    Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu.... Si Hivyo Tu Pia Umefanya Mabaka Na Madoa Kiasi Cha Uso Kukosa Nuru ... Vile Vile Uso Una Mafuta Mengi Na Umefanya Vitundu...
  3. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinasababisha wanaume kuwafanyia wanawake matukio ya kikatili?

    Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio. Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina 4 za wanawake: Mjue mkeo upate raha za dunia hii

    AINA 4 ZA WANAWAKE 🔞 Unapokuwa na mke na unataka kumridhisha kimapenzi, hatua ya kwanza ni kujua yeye ni mwanamke wa aina gani... Kwa ujumla kuna aina 4 za wanawake katika suala la furaha ya ngono: 1. Mwanamke clitoridian: wanawake wa aina hii hawafiki kileleni kwa kupenya uume. Wanafika...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanawake msipoacha kutambiana hamtafika mbali. Inuaneni

    Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati zao wala vikundi. INASHANGAZA. Sababu kuu ni wao wenyewe kuoneana wivu na kutambiana kipuuzi. Hii...
  6. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake wengi (Age: 30+) wameokoka

    Je, wajua? Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia, Msahafu, nyimbo za dini, Kwaya mbalimbali, n.k Ingawa kuna tetesi zinasema kwamba "ni stress za maisha na...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

    Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
  8. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
  9. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

    Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.? Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana?
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mnamiliki siku ngapi maana karibu kila siku ni yenu

    Mna zile za kusafiri angani kila mwezi. Kuna siku ya wanawake duniani. Siku ya maombi ya kina mama. Kuna mothers day. Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Bi. Mwanaamani Mtoo: Serikali imefanya jitihada kubwa kuwezesha wanawake kupiga hatua kimaendeleo

    Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Bi. Mwanaamani Mtoo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya jitihada kubwa katika kuwawezesha wanawake kupiga hatua kimaendeleo. Bi. Mtoo ameyasema hayo leo kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Wanawake wahamasisha Wananchi kutembelea Vivutio vya Utalii

    Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
  16. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

    Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu Wamuulize luiza mbutu na dotinata Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni Na ya mkia...
  17. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni chachu ya maendeleo

    Habari wana JamiiForums Leo nimekuja na hii thread Dunia ya sasa wanawake wengi wameanza kushiriki shughili za uzalishaji mali kwa kiasi kikubwa Hii inatokana na wanawake kuimarishwa kielimu, elimu ya ujasiliamali pia siasa. Kwa upande wangu nimefanya kazi na wanawake kwenye taasisi tatu...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Awataka Wanawake Nchini Kujitathimini Ili Kuwa Bora Zaidi Kiutendaji

    TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Wanawake wamchangia Rais pesa ya fomu ya ugombea

    Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono katika jitihada zake za uongozi. Zoezi hilo limeongozwa na Dkt. Yasinta Mafwenga ambaye alikuwa...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

    Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe...
Back
Top Bottom