wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

    Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila pia muwe mnaelewa kiurahisi, asilimia kubwa ya wanawake ni wagumu sana kuelewa, wazito mpaka...
  2. Siku ya Wanawake: Huyu Dada alichonifanyia niliacha kabisa kuwaamini wanawake. Wengi wanapenda kutumika hivi

    huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea shida tu. hana kazi anaishi kwa walezi wake amemaliza chuo , sina mpango naye kimahusiano, sitaki...
  3. Siku muhimu

    Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
  4. Siku ya wanawake duniani-tuishi nao kwa akili

  5. B

    Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

    Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia. Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza hadharani kudai sisi...
  6. Ujumbe katika siku hii ya wanawake duniani

    Mwanamke ni sehemu muhimu ya jamii, awe ni mama, dada, binti, rafiki wa kike, nk Siku ya Wanawake Duniani 2021 ina kampeni iliyo na kaulimbiu "SelectToChallenge". Siku ya Wanawake Duniani ni siku ya kimataifa kuadhimisha mafanikio ya wanawake kijamii, kiuchumi, kitamaduni na kisiasa. Hii ni...
  7. J

    Kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021 UCSAF yatoa msaada katika kituo cha Watoto yatima

    KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA Na: Celina Mwakabwale Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
  8. Hawa ndio wanawake, kila utakachomfanyia lazima akuroge

    Utarogwa kwa kumpa hela, ili usiwape watu wengine hata wazazi wako, umpe yeye tu. Utarogwa kwa kumnyima hela, atakuendea kwa mganga ili uache ubahili, anahisi unahonga nje. Ataroga ili umpende, ukimpenda zaidi atakuroga Tena uwe zezeta Atakuroga ili akushike masikio na akupande kichwani, wakija...
  9. Kabila lipi hapa nchini linaongoza kwa kupenda kulelewa na wanawake

    Wapo wanaume wasio fanya kazi ila wanataka kulelewa na kuhongwa, ni kabila lipi linaongoza kwa tabia hiyo maana hata kuoa hawataki.
  10. Wanawake muwe na huruma kidogo, mmezidisha sana vitendo vya ukatili wa kijinsia

    Wanaume wanalia, nyumba chungu haikaliki, hawakupigi (Ni wachache ndio hupiga wanaume) lakini cha mtema kuni hukiona. Wananyumwa unyumba, wananuniwa, wanasimangwa, wanafyonzwa, wanajibiwa majibu ya shombo na kero nyingi mno kutoka kwa wanawake. Wanaume hawana pa kusemea, wamejikuta wakitafuta...
  11. D

    Wanawake na tamthilia

    Hivi Kuna kitu wanawake wanakiona kwenye TAMTHILIA ambacho hatukioni. Hasa za Maisha Magic na zile za Amerika ya kusini. It is just too much
  12. Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

  13. Hivi kwanini Wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa tofauti na sisi wanaume?

    Hello Jf. Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia simu but atahakikisha lazima pete yake ya ndoa inaonekana kwa watazamaji. Hivi hii huwa ina maana...
  14. Vikoba na wanawake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu naomba kuwasilisha kwenu kwanini inachukuliwa tofauti na jamii hasa wanaume kwa mwanamke anaecheza/kujihusisha na vikoba? Ikiwa pesa inayopatikana wengi wameifungilia miradi/kuifanyia vitu vya maendeleo kwa ajili ya familia husika!
  15. Dar yaongoza ukatili wa wanawake

    Waziri wa Afya nchini Tanzania, Dk Dorothy Gwajima ameutaja Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania kuongoza kwa kuripotiwa matukio 2618 ya ukatili wa wanawake mwaka 2019/20. Dk Gwajima amesema hayo leo Jumatano Februari 24, 2021 wakati akifungua kongamano la chama cha maofisa maendeleo wa...
  16. Wanawake punguzeni sifa, mifuta yote hii unamkomoa nani sasa

    Mimi ka-baby care kangu kamoja kananitoshaga Sana. Sasa nyie wenzangu sijui ndio Nini hiki
  17. Kituo cha BBC chatuhumiwa kuchochea chuki na ubaguzi dhidi ya Wanawake wa Kiislamu Nchini Uingereza

    Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'. Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
  18. Wanawake naomba mnijibu hili swali

    Habari za muda huu wana JF! Ni muda mrefu nimekuwa nikisikia hii habari/imani ya baadhi ya sisi wanaume na baadhi ya wavulana. Imani yenyewe ni kuwa Mwanaume aliyekubikiri halafu mkaachana ni mwiko kumnyimba kumnyima unyumba, yaani hata kama mtakuja kukutana ukiwa tayari umeolewa na una watoto...
  19. Wanaume tuwe makini Sana tunapo oa wanawake masikini

    .
  20. M

    Navutiwa na wanawake watu wazima

    Mambo vipi wadau Mimi kijana wa makamo 23 years Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka nanikishafanya nao mapenzi basi nalizika tofauti na vibinti vya umri wangu kuna mmoja nilimpenda hadi nikawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…