Ni kwanini Rais Samia aliposema kuwa 2025 ni zamu ya Wanawake, Sisi Wakurupukaji wote tukadhani kuwa huenda Yeye ndiye atagombea?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Wakati nikiyasubiri kwa hamu sana Majibu yenu hapa naomba nipatiwe Mbinu ya kuwa karibu mno na ama Waziri wa Ulinzi Dk. Stergomena Tax au hata Familia yake tu, ili ikiwezekana kuanzia 2025 niwe na uhakika wa Kuezeka Kakibanda Kangu kanakonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu kutokana na Umasikini wangu mkubwa huko Mapinga.
 
Uache kufikiria kutafuta pesa zako ukae kuwaza kuwa chawa wa familia fulani cjui vijana mnakwama wapi
 
Kama ikitokea unavyosema nitamuona genius, ila kwa muonekano na matamko yake ya hivi karibuni, anaonekana ameshaanza kunogewa na ofisi, ameanza kuizoea na utamu wake wa angani kila siku.
 
Mwanamke hawezi kuwa kiongozi kila kitu kinaharibika yule wa mambo nje changa huyu wa tehama chenga huyu wa ulinz chenga

Tanzania weeeeeeee
 
Wakati nikiyasubiri kwa hamu sana Majibu yenu hapa naomba nipatiwe Mbinu ya kuwa karibu mno na ama Waziri wa Ulinzi Dk. Stergomena Tax au hata Familia yake tu, ili ikiwezekana kuanzia 2025 niwe na uhakika wa Kuezeka Kakibanda Kangu kanakonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu kutokana na Umasikini wangu mkubwa huko Mapinga.
wewe si uko mzena?? nyote hapo ni mabilionea acha kutukebehi sisi
 
Rwanda wanawake wengi wamepewa uongozi nyeti na nchi inakwenda vizuri, sio vibaya kuiga mambo mazuri.
nani kakudanganya? mbinu ya Pk ile kwanza kuvuta attention ya mabeberu yanayomlinda. Pili wanawake anaowaburuza anavyotaka.
 
Nyie tuwen wapole kwan tatizo kubwa la nchi hii wazee wetu pia wanahusika , walishindwa kujikita kwa kutengeneza kizaz cha uzalendo , ndo maana hapa tz ukiwa mzalendo utazongwa xana pia ningalipenda niulize swal jepes

HIVI SAFAR MOJA YA RAIS INAWEZA GHARIMU KIAS GAN CHA FEDHA HAD KUKAMILIKA?
 
Akiwa anatoka magogoni mpaka Kariakoo au Magogoni mpaka Iceland! Jamani elimu yenu Inasikitisha!
 
Nyie tuwen wapole kwan tatizo kubwa la nchi hii wazee wetu pia wanahusika , walishindwa kujikita kwa kutengeneza kizaz cha uzalendo , ndo maana hapa tz ukiwa mzalendo utazongwa xana pia ningalipenda niulize swal jepes

HIVI SAFAR MOJA YA RAIS INAWEZA GHARIMU KIAS GAN CHA FEDHA HAD KUKAMILIKA?
Nyinyi haohao ndio mliokua mnamnanga mwendazake kwa nini anajifungia ndani haendi kujichanganya na watu duniani.
Kweli binaadamu hua hakosi lawama.
 
wewe si uko mzena?? nyote hapo ni mabilionea acha kutukebehi sisi
Ningekuwa hapo Mzena kama unavyohisi ( unavyodhani ) si ningeringa sana Ndugu? Nipo zangu tu hapa Unguja kwa Bi. Hangaya navua na kupara zangu Samaki tu.
 
Back
Top Bottom