Wanaume wenzangu tuweni makini na hawa wanawake wanaojiuza mitandaoni

Karot

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
1,153
1,303
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Kichwa cha habari chajieleza hapo juu...

Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake.

Nina mfano mmoja, kuna mdada anatrend sana fb kila wakati na picha zake za kichokozi. Lakini cha ajabu ukimfata messenger anakutumia namba ya wasap, n aukimfata wasap anakutumia namba umtumie kiasi cha tshs 4000 ili akutumie picha umfaham vizuri kutu ambacho ukifanya hivo unaishia kupigwa.

Mimi nimejaribu kumfata nikashindwa maana nimegundua ni tapeli kindaki ndaki.... Jina fb anatumia tamlat tamlat ukimpigia sim hapokei lengo hataki kusikika sauti yake

Anavojidai anakaa Kimara Fuoni Zanzibar. Haya changamkieni fursa ili muje mulete ushuhuda kama nilivoleta mimi hapa.
 
Habari za majukumu wakubwa na wadogo...
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu...
Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake.

Nina mfano mmoja, kuna mdada anatrend sana fb kila wakati na picha zake za kichokozi. Lakini cha ajabu ukimfata messenger anakutumia namba ya wasap, n aukimfata wasap anakutumia namba umtumie kiasi cha tshs 4000 ili akutumie picha umfaham vizuri kutu ambacho ukifanya hivo unaishia kupigwa.

Mimi nimejaribu kumfata nikashindwa maana nimegundua ni tapeli kindaki ndaki.... Jina fb anatumia tamlat tamlat ukimpigia sim hapokei lengo hataki kusikika sauti yake

Anavojidai anakaa Kimara Fuoni Zanzibar. Haya changamkieni fursa ili muje mulete ushuhuda kama nilivoleta mimi hapa.View attachment 1953847View attachment 1953849View attachment 1953851View attachment 1953854View attachment 1953855View attachment 1953858View attachment 1953859View attachment 1953860
Futa hii thread inakuaibisha, huyo changu ana mvuto gani?

Nenda kwenye thread ya picha za warembo ukadate kule.

Kwamba wewe unatumia madada poa wa mtandaoni si ndio??

Ngoja mama atoke umoja wa mataifa aongeze tozo
 
Tuma hela kijana
Nimeshindwa kutuma maana nina uwezo wa kuonana nae uso kwa uso kama kweli aliposema anaishi ni kweli maana ni mitaa hiyo hiyo ninayoishi mimi. Ila masharti yake utume elfu 4 sijui ndo kiingilio kwanza cha kufungua maongezi?
 
kwa hiyo kuna watu wanamtumia hela kweli yaani daah Tanzania hii bana
Kabisaa wala usije ukathubutu kuvutiwa na picha na ukachanganyikiwa broo... Naamini wakati nimeweka mpaka namba kuna watu watamtafuta kimya kimya.
 
Wenzio wanatumiwa buku jero hapa mtaani kuna kijana ndo kazi yake kwa siku haingizi chini ya 50
 
Biashara ya kuuza dudu ni imekua sn sasa.Usimtongoze binti mtaani kwaajili ya kuoa hutaamini atakapoanza kukuuzia dudu ukabaki unashangaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom