wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

    Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana. Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga. Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda. Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au...
  2. JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  3. JamiiForums Tanzania TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

    Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi. Kuwa nami kwa yatakayojiri ========= Anaeongea sasa ni Katibu mkuu, Dkt. Hassan Abbas na...
  6. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa upungufu wa damu na lishe kwa wanawake

    Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi, na tatizo la upungufu wa damu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5? Ni nadra sana kuona wataalamu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

    .
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

    Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao? Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria. Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

    Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tunapenda wanawake walioshindikana?

    Hapa mtaani kuna madoni kama watatu. Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja. Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita. Doni wa tatu alipata mke...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume tunarogwa sana na wanawake

    Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k Sasa yeye mwanamke ili kuweka...
  13. JamiiForums Tanzania Njaa mbaya wanaume, acha tu wanawake wapende pesa

    Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa. Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi tabia zao hubadilishwa na rafiki zao wa kike

    Asilimia kubwa ya wanawake ambao wengine ni wake zetu, wapenzi wetu, dada zetu, mama zetu, ndugu zetu n.k. Ila kwa uzoefu nilionao wanawake wengi ukiona kabadilika kwa mazuri au mabaya basi tambua akili yake au ufahamu wake unashikiliwa na mwanamke mwenzake, haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani...
  15. JamiiForums Tanzania Umoja wa wanawake Tanzania kumuenzi Bi. Titi Mohamed

    BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)HANA MFANOWE Historia ya Bi. Titi haijaandikwa. Naamini ni watu wachache sana wanajua kuwa Bi. Titi Mohamed amepanda jukwaani kuhutubia mkutano wa TANU Viwanja Vya Mnazi Mmoja wala haijui sura ya Julius Kambarage Nyerere inafananaje. Naamini pia si wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kibongo wanapenda zawadi za vitenge

    Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote. Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada na akina mama wanakuvibali kwa namna hii.?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

    HABAR WADAU Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima kumwakilisha Rais Samia kwenye Kongamano Nchini Urusi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…