Toka aliponitenda nimekosa imani kabisa na wanawake

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Popote ulipo Happy uliniweza.

Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo.

Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi na marafiki zangu wawili (ghetto) nyumba ambayo nilikuwa nimepanga alikuwa amepanga dada yake siyo wa tumbo moja, alikuwa akimuita dada kwa kuwa walitoka kijiji kimoja (majirani).

Happy alikuwa akija kila Jumapili kwa dada yake, siku ya kwanza namuona nilitokea kumpenda sana.

Siku moja jumapili nipo home nikasema leo lazima nifunguke. Kweli bwana manzi siku hiyo akatokea kwa dada yake, nikamuomba mazungumzo nae japo hatukuwa na mazoea sana akakubakubali kuzungumza nami. Basi hapo kidume nikafunguka ya moyoni.

Bila kupepesa macho manzi kwa aibu kubwa akanijibu 'sawa'. Basi bwana mapenzi motomoto yakaanzia hapo, ni kuchakata mbususu kwa kwenda mbele.

Miezi ikasonga, kumbuka pale ghetto tulikuwa marafiki watatu, hivyo tulikosa uhuru wa kufurahia malavidavi, kila tulipopanga kukutana ilitubiri tuende lodge.

Baada ya miezi kama mitano hivi kwenye mahusiano, ikanibidi nipange chumba cha peke yangu, bi dada akapata uhuru sasa, akaanza kununua vuombo vya ndani kwa fujo nikasema dah, Mungu anipe nini mke si ndio huyu.

Mwaka ukakata mapenzi yapo moto, kimbembe kikaanzia hapa baada tu ya kuniambia anataka kusafiri kwenda kwao (kijijini kwa wazazi wake kusalimia).

Basi bwana baada ya siku kadhaa akasafiri, nyie hapa ndio nilikipata kila nikipiga simu hola haipatikani, nikajipa moyo huenda labda kwa kuwa yupo kijijini huenda mtandao una shida.

Week ikakata hakuna mawasiliano, kidume mawazo hayaishi 😂😂 siku moja nipo zangu mishe namba ngeni inaingia kupokea mimi Happy, dah moyo ukapasuka paa. Siyo masihara huyu manzi nilimpenda hasa.

Nini shida mama mbona haipatikani? Samahani kama zote simu nilipoteza kwenye basi, kidume ok nitakutumia pesa ununue nyingine hii namba mpya uliyonipigia nayo ni ya nani? Hii simu ni ya rafiki yangu. Akanipa tahadhari usiwe unaipiga hii namba huyu rafiki yangu ni mke wa mtu kidume ok.

Nitakawa mtumwa sasa mpaka yeye anipigie, nikamwamia nakutumia pesa ukanunue simu mpya akakataa akasema huko kwao hakuna maduka ya simu mpaka akienda mjini ataniambia nimtumie kidume ok.

Week kama mbili hivi zikakata, siku moja akanipigia simu kupitia simu aliyodai ni ya rafiki yake, baby nataka kurudi dar nauli sina nakumbuka ilikuwa ni mwisho wa mwezi kidume nikatuma nauli.

Kimbembe kwenye kurudi sasa kila siku kalenda, mwezi ukakata na mawasiliano nayo yakapungua kidume mawazo.

Sasa siku moja nipo zangu home nikasema leo hembu ngoja niipige hii namba nimuulizie huyu rafiki yake, kwa kuwa ilipita muda hatujawasiliana.

Ilikuwa mida ya saa mbili usiku, kidume nikapiga simu ikaita, baada ya sekunde kazaa simu kuita ikapokekewa na kidume, nyie kijasho kilinitoka nikamwambia jamaa naomba niongee na mwenye simu.

Ngoja ninywe maji itaendelea……
 
Popote ulipo Happy uliniweza.

Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo.

Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi na marafiki zangu wawili (ghetto) nyumba ambayo nilikuwa nimepanga alikuwa amepanga dada yake siyo wa tumbo moja, alikuwa akimuita dada kwa kuwa walitoka kijiji kimoja (majirani).

Happy alikuwa akija kila jumapili kwa dada yake, siku ya kwanza namuona nilitokea kumpenda sana.

Siku moja jumapili nipo home nikasema leo lazima nifunguke, kweli bwana manzi siku hiyo akatokea kwa dada yake, nikamuomba mazungumzo nae japo hatukuwa na mazoea sana akakubakubali kuzungumza nami. Basi hapo kidume nikafunguka ya moyoni.

Bila kupepesa macho manzi kwa aibu kubwa akanijibu sawa, basi bwana mapenzi motomoto yakaanzia hapo, ni kuchakata mbususu kwa kwenda mbele.

Miezi ikasonga, kumbuka pale ghetto tulikuwa marafiki watatu, hivyo tulikosa uhuru wa kufurahia malavidavi, kila tulipopanga kukutana ilitubiri tuende lodge.

Baada ya miezi kama mitano hivi kwenye mahusiano, ikanibidi nipange chumba cha peke yangu, bi dada akapata uhuru sasa, akaanza kununua vuombo vya ndani kwa fujo nikasema dah, Mungu anipe nini mke si ndio huyu.

Mwaka ukakata mapenzi yapo moto, kimbembe kikaanzia hapa baada tu ya kuniambia anataka kusafiri kwenda kwao (kijijini kwa wazazi wake kusalimia).

Basi bwana baada ya siku kadhaa akasafiri, nyie hapa ndio nilikipata kila nikipiga simu hola haipatikani, nikajipa moyo huenda labda kwa kuwa yupo kijijini huenda mtandao una shida.

Week ikakata hakuna mawasiliano, kidume mawazo hayaishi siku moja nipo zangu mishe namba ngeni inaingia kupokea mimi Happy, dah moyo ukapasuka paa. Siyo masihara huyu manzi nilimpenda hasa.

Nini shida mama mbona haipatikani? Samahani kama zote simu nilipoteza kwenye basi, kidume ok nitakutumia pesa ununue nyingine hii namba mpya uliyonipigia nayo ni ya nani? Hii simu ni ya rafiki yangu. Akanipa tahadhari usiwe unaipiga hii namba huyu rafiki yangu ni mke wa mtu kidume ok.

Nitakawa mtumwa sasa mpaka yeye anipigie, nikamwamia nakutumia pesa ukanunue simu mpya akakataa akasema huko kwao hakuna maduka ya simu mpaka akienda mjini ataniambia nimtumie kidume ok.

Week kama mbili hivi zikakata, siku moja akanipigia simu kupitia simu aliyodai ni ya rafiki yake, baby nataka kurudi dar nauli sina nakumbuka ilikuwa ni mwisho wa mwezi kidume nikatuma nauli.

Kimbembe kwenye kurudi sasa kila siku kalenda, mwezi ukakata na mawasiliano nayo yakapungua kidume mawazo.

Sasa siku moja nipo zangu home nikasema leo hembu ngoja niipige hii namba nimuulizie huyu rafiki yake, kwa kuwa ilipita muda hatujawasiliana.

Ilikuwa mida ya saa mbili usiku, kidume nikapiga simu ikaita, baada ya sekunde kazaa simu kuita ikapokekewa na kidume, nyie kijasho kilinitoka nikamwambia jamaa naomba niongee na mwenye simu.

Ngoja ninywe maji itaendelea……
Ivi wanawake wao hawatendwi mbona sioni wakilalamika?
 
Back
Top Bottom