Kuna Jamaa alikuwa akiambiwa na mkewe, huyu Aisha vipi mbona anajiachia sana kwako hakuheshimu Kama Mjomba wake? Jamaa akawa anamjibu mkewe acha mambo ya kipumbavu, Sasa wewe unahisi nini mpaka unaongea hivyo, unajua kabisa huyu ni mtoto wa dada, wacha mambo yako ya ajabu ajabu.
Mara kadhaa...