wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinakufanya usite kufunga ndoa au kupeleka mahari kwa mwanamke?

    Katika dunia hii kuna makundi mbali mbali ya watu na sifa zao. Kuna wanaume ambao waliojaribu kuingia katika ndoa na ikawavuruga mpaka kufanya maamuzi ya kuachana na wake zao au kuna wengine hawajawahi kuingia kabisa ila kutokana na speed ya maisha wameona haina haja tena ya kuingia...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume na wanawake ni wapi huongoza kwa kujisahau katika ndoa?

    Salam sana Ama baada ya salamu Kumekuwa na kauli kuwa watu wengi wamekuwa wakijisahau sana majukumu yao baada ya kufunga ndoa na wapenzi wao. Kila upande huulalamikia upande mwingine kuwa wamejisahau sana. MALALAMIKO YA WANAUME Wanaume wamekuwa wakiwashutumu wanawake kubadilika sana katika...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili

    Ndugu zangu huu ndio ukweli. "Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili"
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake kumbe wana tabu hivi katika maisha na mahusiano na wanaume?

    mnawezaje kubadili kiumbe wa mwenyezi Mungu
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume hii kitu ni sawa?

    Hi kitu imekaaje? Mwanaume miaka 37 ameoa na anafamilia kua na urafiki na kijana wa miaka 25. Tena urafiki ule wa close kabisa kila sehem wako wote ikifika jion jamaa akitoka kazini kijana anaenda nae kwake wanakaa mpaka saa 4 usiku kijana anaondoka. Kama jamaa haendi kazini basi rafiki kijana...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

    Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya. Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiswahili ni shida

    Hapo vip!! Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia . Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo. Mara wakaagiza msosi na juice,baada yakunywa juice kidogo mara jamaa akashauti hii juice sio nzuri..hata sisi tunatengeneza sio nzuri...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

    Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume mnakwama Wapi? Vunja Vikoba Dar Desemba 2020

    Habari za jioni, Natumai hamjambo, mko poa na mnaendeleza gurudumu la maendeleo. Tangu mwezi wa 11 mwaka huu 2020 kumekuwa na wimbi la wadada/ wamama kuvunja vikoba vyao kwa maana ya vikundi vya wakina dada/mama hawa kukutana wanaenda mahala na kufurahi pamoja. Kawaida vikundi hivi vya kina...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume ndio wanakwazika zaidi wawapo na maumbile madogo (vibamia) kuliko hata wanawake (wenza wao)

    Watafiti wanaeleza kuwa wanaume ndio huwa wanakwazika zaidi wawapo na vibamia kuliko jinsia ya kike (wenzi wao). Na huwa watoa madai ati hawawafikishi wenzi wao kileleni kwa kuwa na maumbile ya hayo. Wengi wao (wanaume) hudai eti mpaka uwe na tango ndio utafikia G-Spot ya mke. Utashangaa hata...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanaume wa Arusha ndio kitu gani?

    Nimeona kipeperushi cha kongamano la wanaume wa Arusha. Kongamano hilo lililenga kukutanisha wanaume ili wakazungumzie matatizo wanayokabiliana nayo na kuhimizana kutokaa na jambo moyoni. Sijajua kama walikutana jana ama lah lakini kongamano linawaomba wanaume wa Arusha wasiwe wakimiya...
  12. JamiiForums Tanzania Dhana ya wanawake kupenda Kama wanaume imeharibu sana jamii yetu

    Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tangazo na tangazo kwa wanaume wote ...

    Hakuna mahusiano yanayoanza mwezi huu wa December Huo ni mtego chunga wallet yako.
  14. JamiiForums Tanzania Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

    Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu. Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa daladala sio Hammer au V8. Wanaume wenzagu katika hili, Mungu...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda kununa

    Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana. Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe unataka mpalange lenyewe limenuna. Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii...
  16. JamiiForums Tanzania Aidan Khenani awataka Wanaume kutokaa kimya wanapopigwa au kunyimwa unyumba na wake zao

    MBUNGE wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa, Aida Khenani (Chadema) amewashauri wanaume mkoani humo wanaopigwa au kunyimwa unyumba na wenza wao wasione aibu na kunyamaza bali wazungumze ili wasaidiwe. Alisisitiza kuwa visa vya kupigwa na kunyimwa unyumba na wenza wao ni ukatili huku...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaonyanyaswa na wanawake msifiche uovu huo

    WANAUME WATAKIWA KUTOFICHA UKATILI WANAOTENDEWA. Kamanda wa polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ACP Ramadhani kingai amewashauri wanaume kuacha kuficha vitendo viovu wanavyotendewa na wanawake kwa kutoa taarifa katika mamlaka husika ili watuhumiwa washughulikiwe kisheria. Ushauri huo aliutoa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

    Askari huyo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayeenda kwa jina la Daniel Warioba alijaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya tukio hilo lakini hakufanikiwa. Uchunguzi wa tukio hilo la kutisha lililotokea Mlandizi Mkoani Pwani bado unaendelea na taarifa kamili itatolewa na mamlaka husika...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

    Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu. Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

    Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni. Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…