Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

Mkuu Wewe ni Mimi kabisa,
Zinakua kama zinavimba hivi
Kuna kipindi nilienda saloon ngeni jamaa si akazitoa zote Nikampa tusi (Nilimind), Huwezi amini nikafunga kitambaa huku Natukan njia nzima
Mkuu umenifanya nimecheka sana sema ukinyoa mustachi mdomo wa juu unakua mrefu halafu disign km unavimba unakua km version fulan hivi ya bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule muda ndevu na sharubu zinaanza kuota huwa ni very critical sana kwa wanaume.

Unatakiwa uwe makini sana kuassess una ngozi aina gani. Ukikosea ukanyoa na wembe au ukaenda kwa vinyozi hewa utatokwa na mapele yatakayoacha makovu ya milele.

Mimi huwa siangalii mambo ya kupendeza ama kutopendeza. Ratiba yangu nazinyoa kila baada ya wiki 3 no matter what. Kunyoa mara kwa mara nako kunachangia kukomaza ngozi.
Unforgetable
 
Watu ni wehu kweli, mfano mm juz kat nilienda kunyoa boya kaniharibu kabisa mstachi wangu! Yaan jitu unalielekeza usiweke nyembamba Sana basi jitu linajifanya linanyoa mpka linakubaribu matokeo yake inakubidi unyoe tu zote au kipara kabisa! Vinyoz wetu wajinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenifanya nimecheka sana sema ukinyoa mustachi mdomo wa juu unakua mrefu halafu disign km unavimba unakua km version fulan hivi ya bata

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mkuu nimejikuta nimecheka ile mbayaaa😂😂😂😂 kuna jamaa angu mmoja wakati wa chuo alikuwa hazipendi mustach basi kila akienda kunyoa huwa anazitoa zote, sasa ule mdomo wa juu unavyoumuka mimi nilikuwa nikimuona sina mbavu😂😂😂, sitokuja kunyoa mustach mimi.
 
Wekeni na picha wakuu ya hiyo midomo iliyoumuka kama bata
 
Ule muda ndevu na sharubu zinaanza kuota huwa ni very critical sana kwa wanaume.

Unatakiwa uwe makini sana kuassess una ngozi aina gani. Ukikosea ukanyoa na wembe au ukaenda kwa vinyozi hewa utatokwa na mapele yatakayoacha makovu ya milele.

Mimi huwa siangalii mambo ya kupendeza ama kutopendeza. Ratiba yangu nazinyoa kila baada ya wiki 3 no matter what. Kunyoa mara kwa mara nako kunachangia kukomaza ngozi.
Unforgetable
Uzuri unabaki na uhandsome wako hata ukinyoa

Kingsmann

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom