TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,733
- 20,768
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanaume wenzangu wote popote duniani kwa kazi kubwa ambayo tumeifanya tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka sasa!
Kwakweli tumefanya kazi sana, tumeteseka sana, tumepambana sana mpaka kuifikisha dunia hapa ilipo. Kila unachokiona hapa duniani kuanzia mapiramidi kule misri, ma miji makubwa yote unayoyaona kama Nyuu Yoku, Tokyo, Dubai, Landan, Parii, Daa nk yote tumejenga sie kwa jasho letu. Mpaka kwenye mbalamwezi (sio mwezini) kule tumeenda na sasa mzee mzima Eloni Maski anataka tutimbe Marz kabisa! Tumepigana ma vita, tumeondoa wakoloni, tumeua magaidi na mapanya rodi, Kibiti kule kote tumesafisha. Yote hii ikiwa ni kujaribu kuwaridhisha wanawake na kutafuta hela za kuwahonga na kuwapa gudtaimu ili wainjoi maisha mazuri!
Eeeh ndio maana yake..! Hivi wewe unafikiri mwanaume anatafuta hela za nini? Hata uwe na mabilioni na matrilioni ya pesa, bila mtoto mkali pembeni yatakusaidia nini? Unataka kuniambia mwanaume unaweza kuamua kwenda vakesheni lets sei uende Zanzba au Sii Shelz kula bata kwenye Yach peke yako tu? Utakua una wazimu? Au hata ujenge li Manshen la aina gani, bila mwanamke ndani litakua la kazi gani? Uwe unaendesha hata li RoziRoiz, Lambojini, Renji, bila kifaa pembeni si ni kama guta tu?
Sasa bana, mi naona inaf iz inaf. Wanaume sasa hebu na sisi tukae tutulie tupumzike, tuwaachie wanawake nao wateseke zamu yao. Kwanza wameshasema sisi na wao ni sawa. Imefika mahali wanaume hadi tunakufa kabla ya umri wetu kisa ni kuwahangaikia hawa viumbe. Hivi sisi wanaume tutapumzika lini tumekua kama watumwa kwenye dunia hii kisa wanawake.
Kibaya zaidi wanawake wenyewe wala hawaoni hizo efoti zote tunazofanya kwa ajili yao na wala hawa apreshieti. Bado wanataka tutume na yakutolea, bado tukitaka mzigo tuzungushwe, tukizingua kidogo tunanuniwa, unyumba tunanyimwa, bado kusimangwa mara tuna vibamia, mara hatuna nguvu, mara hatuko romantiki.... jamani..! Hivi hawa viumbe tuliwakosea nini? Hivi tukiamua kuanzia Jumatatu wanaume wote tukae nyumbani, kazi zetu wakafanye wake zetu itakuaje?