Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,151
- 166,095
Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni.
Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo.
Tunakwama wapi jamani?