wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

    Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
  2. Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

    Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto. Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...
  3. Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

    Habarini wandugu Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu kwa ukarimu upendo na undugu uliopo baina yetu japo wengi wetu hatufahamiani lakini tumekuwa tukisaidiana hususan kwa ushauri mzuri. Moja kwa moja niende kwenye kile kilichonileta hapa, nimekuwa nikiishi na mpenzi wangu ambaye...
  4. Restituta Mbogo: Wakina Mama hakikisheni Wanaume wanaandika majina yenu pindi wanaponunua ardhi

    Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia. Mhe. Restituta ametoa ushauri...
  5. Wanaume njooni huku tukumbushane mambo ya msingi

    Habari wana JF. Leo kuna vitu ilinibidi niwaeleze wale wanaume wenzangu wenye akili za miaka ya tisini maana huwa wanapata shida sana kusaivu katika mapenzi kutokana na mabadiliko ya kitamaduni. Kwanza nianze kuelezea miondoko ya dunia ya sasa ambayo amkuwa teyari kuyakabili:- Dunia sasa...
  6. Nini kifanyike kukomesha Wanaume kuwatelekeza Mke na Mtoto/Watoto wao?

    Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara yake ya duka la rejareja. Baadae alipata mwenza na kubahatika kupata Watoto wawili, baadaye Baba...
  7. Je, wahanga wa tatizo la nguvu za kiume ni wanaume au wanawake?

    Wenyewe tumetulia tuli, na tumeridhika na hali zetu lakini wao/wanawake ndio wapo Mstari wa mbele kututafutia Tiba za kuponya tatizo hili. Barabarani utawakuta wanauza vipande vya nazi, mihogo na Karanga. Ukiingia mitandao ya kijamii unakutana na matangazo kibao ya madawa ya tiba lishe na...
  8. N

    Kama Bill gates ni mbakaji basi wanaume wote Hamfai

    Bill gates
  9. Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

    Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo. Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni? Je, tatizo nini? Tuambizane.
  10. Hivi ni kweli wanaume wengi huwapenda zaidi watoto waliopigiwa kuliko watoto wao wa damu?

    Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa. Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu anapigiwa na kinatoka kitu tofauti na yeye. Unakuta dingi jeusi kama dhambarau lakini mtoto white na...
  11. M

    Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  12. R

    Wanawake ni muhimu mkatambua hili

    Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:- 1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe. 2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda simu amuelekeze. 3.Mwanamke ambae unamuelekeza jinsi ya kufika geto mwenyewe. Uzi tayari...
  13. K

    Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  14. M

    Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
  15. D

    Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  16. Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

    Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa...
  17. Wanaume ambao hawana mpango kuoa hebu njooni mtueleze nini kiliwafanya mfikie maamuzi hayo

    Kama kichwa cha habari kinavuojieleza ilikuweje ukafikia hatua ya kufanya maamuzi ya hutokuja kuoa au hiutokaa Luciano Je, tazizo ni nini?
  18. Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…