wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume wenye michepuko huwa mnawachukuliaje mnaochepuka nao?

    TGIF, Hi guys Naomba niulize wanaume swali ambalo laweza kuwa la kijinga ila kwetu sisi wanawake lina mantiki kubwa sana. Hii hasa ni kwa wale baadhi ya wanaume ambao wapo tayari kwenye Ndoa na Mahusiano committed lakini huko nje wanaruka ruka zao kama popcorn! Hivi huwa mnawachukuliaje...
  2. Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani...
  3. Hii ni siri nawapa wanaume wenzangu Mlio kwenye Ndoa

    Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G. Pointi ipo hapa... Mke (hasa hasa hawa wake zetu wa kiswahili) akimgombeza dada wa kazi (house girl ) kwa jambo...
  4. Siri ambayo wanaume wengi hawaijui kuhusu wanawake

    Habari! Kuna mambo hayabadiliki na hayataweza kubadilika karne na karne. Labda binadamu sisi tuliopo tuondoke duniani na kuja kizazi kingine. Jambo ambalo wanaume wengi hawalijui ni kwamba " wanaume hawachepuki, hawacheat na hawapaswi kusalitiwa na mwanamke" Suala la mwanaume kuwa na mke au...
  5. Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

    Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu. Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
  6. Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

    Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa. Basi jamaa katupigia simu na...
  7. Siku ya Wanawake Duniani; Nini kifanyike katika kulinda mahusiano?

    Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka kuhudumiwa(pesa) ili awe safi na mwonekano bora ambao mwanaume anautaka. Sasa kilichonileta ni kutaka kujua toka...
  8. Wanaume tunadhalilishwa sana na wanawake huku mitaani

    Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda , Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume, Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa...
  9. B

    Wanawake mnasema mnapenda mwanaume anayejua kuhonga, ila mkiwapata hao wanaume, mnawaona na kuwafanya maboya

    Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga. Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
  10. Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  11. Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  12. N

    Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  13. Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

    Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store. Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe...
  14. Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

    Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine. Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea...
  15. MJADALA: Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Amani iwe nanyi bandugu,, natumai muwazima wa afya. Bila kupepesa macho wala kuzunguka zunguka napenda kuwaletea kwenu swali fikirishi hili,,,,, Hivi ni kwanini wanaume kwa asilimia kubwa wengi hufa mapema or hutangulia kufa kuliko wanawake? Najiuliza swali hili sana kwa kutumia experience...
  16. Wanaume walalamikia uchafu wa wake zao

    Kutoka Kijiji cha Kagumoini, eneo bunge la Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamikia wakidai kuwa wake zao ni wachafu kupindukia. Wanaume hao wanalalamika kuwa wake zao wanashindwa hata kubadilisha nguo kwa zaidi ya wiki moja, hali ambayo inachochea ndoa nyingi kuvunjika...
  17. Ukraine: Mbunge asema wanawake watapigana kama wanaume

    Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao kama wanaume. Ukraine ilitangaza kuwaua wanajeshi 1000 wa Urusi. Hata hivyo asubuhi ya Februari 26...
  18. S

    Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
  19. S

    Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

    Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…