wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

    Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni...
  2. Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  3. Hawa ndio wanaume wa shoka

    Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu...... Karibuni sana makamanda wangu Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00 Kila la heri Wydad and Raja Casablanca
  4. Kuna Siri gani katika hili mbona wanaume wanakuwa sana kuliko wanawake.

    Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia...
  5. J

    Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

    Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata...
  6. Wanaume: Jitihada zetu za kutafuta maisha Zinatuangamiza

    Wanaume Tubadilike Tunatafuta maisha kwa nguvu zote kwa Ajili ya familia zetu na inapotokea tumefanikiwa tunafeli sehemu ndogo sana: .Adui huwa hatoki mbali na wewe hata siku moja. .Kwa nn watu waanze kukutafuta baada ya mafanikio. .Kuna watu walikuwa hawana Time kabisa na wewe Utashangaa hata...
  7. Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  8. Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

    NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida..... ========================== A male with a big belly. PHOTO | COURTESY Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
  9. Ujumbe kwa mabinti ambao hawajaolewa kuhusu wanaume wakatili kwenye ndoa

    1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo umesikia mke kauwawa na mumewe? Shetani anakuza ubaya wa mmoja ili kuwakatisha tamaa muone ndoa na...
  10. Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  11. Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti...
  12. Wanaume wengi wanao "date" na wanawake waliowazidi umri, wengi wao walikosa mapenzi ya mama

    Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao. Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi...
  13. Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

    .Mtu Akifumania anaua .Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga .Mwingine nae wivu tu kameza madonge. .Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake. Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd. Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni...
  14. Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

    Unaona kabisa mtu amevaa engagement ring alafu bado unamtongoza. Hivi mnawazaga nini? Mnakua mnajaribu tu au kuna kingine mnawagazaga?
  15. Wanaume wenzangu Hapa J.f!!!

    Najua sisi ndio tuna pesa za kununua Mabando pia najua 80%Ya Nyuzi Zilizopo humu Hasa kipindi hiki ni za kwetu sisi Mens..Ila sio Mbaya tukipumzisha vichwa vyetu tuweze kutafakari japo siku moja hizi Nyuzi tunazoandika humu,Nahisi kama tumechoka hivi Au mimi ndio naona peke yangu!! Ahsanteni...
  16. Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

    Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time. Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love. Kama ukioa for ur personal interests basi...
  17. Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba. Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
  18. Wanaume tupewe 'free pass' ya Mbinguni

    Nimekaa nikawaza sana kuhusu hili na naamini wanaume tuna deserve free pass ya kwenda mbinguni kwa baba 😊kwasababu: 1. Tunarogwa na wake zetu tusichepuke 2. Tunarogwa na michepuko yetu tuijengeee na kusahau familia zetu 3. Tunarogwa makazini 4. Tunarogwa ukweni tusiwe na sauti kwenye familia...
  19. Wanaume tuwasaidie kazi wapenzi au wake zetu

    Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha 63, mume anatakiwa kumtunza mke wake kwa kuhakikisha anatafuta kipato na pia anamtunza vizuri nyumbani kwa kuhakikisha mke ameishi mahala pazuri na safi, kwakuhakikisha mke amepata chakula na sio vitu vya kupika, na pia kuhakikisha mke ana...
  20. Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

    Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke. Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…