Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa Doha na kulelewa London. Al Mana ni Mkurugenzi wa kampuni ya kifamilia ya Al Mana Group...