wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli wanaume wote wanapenda kupigwa mnyonyo?

  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

    Hapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
  5. JamiiForums Tanzania ATTENTION kwa wanawake ndio SEX kama ilivyo kwa wanaume

    Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
  6. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha wanaume kukimbia familia zao?

    Siku hizi kwenye magroup ya wanawake, Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto, Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko. Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,? Au ndo kuchokana?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameacha kwenda makanisa ya kilokole na yanayoanza kuegemea huko, si rahisi kula jasho la mwanaume rijali kizembe na wamechoka maigizo

    Makanisa ambayo at least utawakuta wanaume ni Roman Catholic, Wasabato, Moravian, n.k. Maigizo ni machache, Wachungaji wanaishi ndani ya uwezo wao, kuna urugu chacha za kugombaniana mali, n.k. Kwa mtazamo wangu, makanisa mengi ya kilokole na hata yale yanayoanza kufuata mkondo huo, kama baadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda wanaume wahuni; poshy queen

    Mrembo kutoka tasnia ya bongo land, poshy amedai Moja ya kitu wanawake wanapenda ni ile uwe na mwanaume muhuni kidogo tu kapanda abembelezi ajilizi lizi, yani hood boys. Ila msafi, sio kunuka bangi pombe, ule usela wa kizamani.
  9. JamiiForums Tanzania Salaamu kwa Wanaume.

    Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani za wanawake kutoa namba kwa wanaume kisha kuingia mitini (ku-ghost)?

    Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake Kiasili Wana "Allergy" na Wanaume Wafupi? Huu Ni Mtazamo Wangu Tu

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi? Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni watu wema sana

    Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda. Unakuta mwanaume ana majukumu mengi, mara nyingine hata anawahudumia wanawake kadhaa kwa namna mbalimbali. Si kwamba kila kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wakikuchoka hutamani uwa-cheat ili wakufumanie kisha wakufukuze

    WANAUME WENGI WAKIKUCHOKA HUTAMANI UWA-CHEAT ILI WAKUFUMANIE KISHA WAKUFUKUZE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tena ukute ndio mama wa nyumbani, beki Tatu, huna kazi wala kipato. Kwenu mafukara. Aiseeh! Binti zangu. Mmekwisha. Kila siku nawaambia mnisikilize. Baadhi yenu wakaidi. Jitahidi...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

    According to the laws of attraction, we are what we think. Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist consciously but believe subconsciously. Maskini ni maskini kwa sababu anabelieve kuwa yeye ni maskini at...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

    Wakuu, Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true. Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanatafuta bikra wanawake tunatafuta wanaume wenye marinda

    Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni Mtihani Mpaka 2035 bikra hatokuwepo na wanaume wenye marinda watamulikwa na tochi Muda mchache Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ukatili na kiburi kwa kusema mtoto akikua atanitafuta. Watibeli tunasema hatutakutafuta

    WANAUME TUACHE UKATILI NA KIBURI KWA KUSEMA MTOTO AKIKUA ATANITAFUTA. WATIBELI TUNASEMA HATUTAKUTAFUTA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi kama Mtibeli, mwanaume, Baba, na Kaka. Nafahamu kuwa wapo watoto ambao wanapatikana kama ajali. Mwanaume ametafuta kisichana wakaamua kufanya ufuska...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wengi hushangaa kwanini wanawake wengi hupendelea kugombania wanaume wachache, huku wanaume wengi wakibaki bila chaguo

    Katika mjadala wa mahusiano, kuna jambo ambalo watu wengi huliona lakini hulikwepa kulizungumzia kwa kina. Mara nyingi utakuta kundi kubwa la wanawake linavutiwa na wanaume wachache wenye hadhi fulani, mafanikio fulani au maisha yaliyojengeka, huku wanaume wengi wengine wakibaki nje ya mzunguko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…