wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  2. nzalendo

    Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume

    Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume. Wanaume tumebaki wachache sana.... Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke..... 1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke. 2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka...
  3. Pascal_TZA

    Bilionea Lugumi kuhudhuria ‘Kikao cha Wanaume’ April 2, 2026

    Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu yanayohusu maisha, maadili na juhudi za kujiletea maendeleo binafsi. Miongoni mwa wazungumzaji ni...
  4. Vien

    Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  5. Red black

    Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  6. M

    Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka. Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
  7. ngara23

    Kwa wanaume tu: Kabla ya kumuoa binti, jitahidi umjue mama yake!

    1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake. Mabinti huchukua tabia za mama zao 2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea 3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au 'I love you' Aidha Kwa mkeo au wanao usipende kusema love you Wanaume halisi tunaonyesha upendo Kwa...
  8. instinct desire

    Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  9. M

    Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  10. Infropreneur

    Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

    Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa. 80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage. Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko...
  11. P h a r a o h

    Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  12. Yoda

    Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

    Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza! Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na...
  13. Hata najua basi

    Je wanaume wengi wanateseka kimya kimya kwenye ndoa zao?

    Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii. Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack...
  14. haszu

    Hivi kuna madanguro ya wanaume kujiuza na wanawake wanawanunua?

    Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  16. Tajiri Tanzanite

    Wanaume weupe hatupendi uchafu

    Hapo vip! Najivunia sana kuzaliwa mweupe kwasababu uweupe ni ishara ya utakatifu,nguvu,utawala,utajiri,mamlaka n.k MFano nuru utawala giza. Kiukweli sisi wanaume weupe hatupendi vitu vichafu vichafu mfano ngono inachafua nyoto,kiasili na ukweli ni kwamba rangi nyeupe haipendi uchafu. Wanaume...
  17. Equation x

    Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

    Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu ni hayo tu.
  18. haszu

    Kiuhalisia, wanaume ndio walitakiwa watongozwe.

    Mtazamo wangu ni kua ingefaa wanaume ndio wawe wanatongozwa na kuombwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake, regardless kama mwanaume ni handsome au la. Kwa maana -wanaume ni wachache -wanaume ndio wanachakalika na kuhudumia familia - wanaume hutoa jibu haraka kama ni hivyo, kwanini sasa wao...
  19. Dalton elijah

    POTOSHI Ni kweli kuwa Wanaume wanatakiwa kutofanya mazoezi ili kulinda afya

    Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...
Back
Top Bottom