wanatoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna mchezo wa ajabu sana unafanyika vituo vya mafuta, hivi vidumu vya mafuta wanavyoficha kwenye dustbin wanatoa wapi mafuta ?

    wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari, sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu. nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10. nimempa...
  2. Chizi Maarifa

    Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro 3. Khamenei Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
  3. Q

    Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  4. Roving Journalist

    LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  5. Roving Journalist

    Wazee wanatoa maazimio yao juu ya kilichotokea tarehe 29 Oktoba

    https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI TAREHE: 22 JANUARI 2026 MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA MWALIMU NYERERE FOUNDATION Imewasilishwa na: Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
  6. Imani rubaba

    Kumbe kuna ng'ombe wanatoa hadi lita 40 kwa siku

    Hapa Tanzania ukisema kuna ng’ombe wanaoweza kutoa lita 40 za maziwa kwa siku, wengi watakushangaa—wengine hata watakupinga kabisa. Lakini ukweli ni huu: ng’ombe hao wapo. Ukienda nchi jirani kama Kenya, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa unachukuliwa kama BIASHARA, si mazoea. Ni jambo la kawaida...
  7. Chizi Maarifa

    TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  8. 100 others

    Soon Mtasikia Watu Wanatoa Mlio Huko

    Waliokuwa wanasema maandamano ni mikwara ya mtandaoni bado wapo?
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano. Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
  10. Brain Kingdom

    Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

    Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26? Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
  12. J

    Nataka kuanzisha biashara ya vinywaji vikali

    Habari jamani Naomba muongozo wa kuuza vinywaji vikali kwa bei ya jumla mtaji wangu ni 20m wapi wanatoa mzigo na muongozo wa biashara kwa ujumla nami nianze biashara ningependa kupata mawazo yenu kwa wenye ufahamu
  13. K

    Je HESLB wanatoa mikopo kwa ajili ya masters?

    Habari wadau Naomba kufahamu kama kuna anayejua iwapo bodi ya mikopo wanatoa Pia na wanaofanya masters.
  14. jamaikatz

    Yanga wanatoa supu kwa upendeleo~alex ngeleza

    Mchambuzi Alex Ngereza asema Yanga wanatoa Supu kwa upendeleo, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️ "Yanga wanatoa supu kwa upendeleo,haiwezekani kila mwaka zinatolewa kwa watu wa dar peke yao,wanatakiwa kupewa pia watu wa mikoani kwa kwenda kufanya huko ili kuonyesha ushirikiano kwa...
  15. Mad Max

    China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD. Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
  16. Mejasoko

    Online writen interview za Utumishi wanatoa vipi maksi?

    Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi? Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na...
  17. Nyendo

    KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  18. JanguKamaJangu

    BAWACHA waliomuunga mkono Mbowe wasema walioondoka CHADEMA wana kiburi na ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/wivzX09ThGk?si=t1hbaoJeAxdcEeOU
  19. O

    Msaada:Ni hospitali gani wanatoa huduma za andrology

    Nahitaji kuonana na dr specialist wa masuala ya uzazi wa wanaume(andrologist). Lakini nimeshindwa kujua naweza kumpata katika hospitali gani...! Mwenye kujua msaada wandugu
  20. ngara23

    Wanaotoa tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo, hawajui mpira

    Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂 Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho Jana kapewa Ateba. Mchezaji...
Back
Top Bottom