WAISLAMU WANATAKA TUWACHUKIE WAYAHUDI
Wanatulazimisha Wakristo tuwachukie Wayahudi na tuwaue kama wao walivyoamrishwa kuwaua.
Maana riwaya zao zinawaambia kuwa Kiyama hakiwezi kuja hadi Waislamu wawaue Wayahudi wote duniani. Muislamu anayefuata dini kamwe hawezi kuwapenda Wayahudi. Ndio maana...
University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao.
Je, wametugeuza Mtaji?
NINI WANAWAKE HUMAANISHA WANAPOSEMA WANAHITAJI "REAL MAN" [ MWANAUME WA KWELI ]?
Hii sio kauli ngeni kwa wanawake kusema wanahitaji "real man", huwa unawaelewa? Real man kwa wanawake haimaanishi ile maana ambayo dunia tunaijua, wao wana maana yao.
Bro ukiona mwanamke anakuita "real man" basi...
Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇
Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa .
Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa .
1. Sitisha...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
Wakuu.
Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku.
Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu...
WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS
UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI
JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO
IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA
VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI
KIDUMU CHAMA CHETU
Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
Makala ya Uchambuzi wa Kisiasa: Hatma ya Taifa, Mgombea Mpina, na Mvutano wa Madaraka
📅 Toleo maalum | Agosti 7, 2025
✍️ Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
“Ukombozi haujawahi kupokelewa kwa shangwe na waliovuna kwenye mateso ya wengi.”
Hayo ni maneno yaliyotolewa jana na mmoja wa wachambuzi wa...
Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
Wakuu,
Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko
Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani
Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae akampa mtu ambaye ndiye anayedai kuipoteza.
Tangu mwezi wa kwanza ndo jamaa ananipa taarifa za...
Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa.
Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe.
Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi.
Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.