Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali.
Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani.
Na kama aliuawa...
Kataa wahuni.
1. Maridhiano ni tume ya uchaguzi itakayokua inatenda haki na ikiongozwa na wtu wenye akili timamu sio makada wa mbogamboga
2. Wahuni walio kwapua madaraka kwa hila waachie ngazi.
3. Kufuta uchaguzi uliofanyika na matokeo yake kutotambulika katika rekodi,
4. Kufanyika uchaguzi...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao.
Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao, badala ya kutumia nguvu kubwa katika kuwanyamazisha.
Askofu Kisare ametoa kauli hiyo jana, Desemba 17...
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.
Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa
Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita
Niligundua jambo moja kubwa sana
Tangu mfumo wa...
Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe.
Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana wanafanya hayo yote, kutokana na maendeleo tuliyopiga kiuchumi kuna mpaka nchi zinakuja kujifunza...
https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg==
https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ==
ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani.
Sijashangaa sana kwani huu ni utamaduni wao pale wanapoamua kulinda maslahi yao na makundi yao.
Nilitegemea baada ya...
VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu.
Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us?
atika Afrika Mashariki, kuna...
Tuna tabia ya Kujidanganya Wenyewe kwamba hatuna matatizo ni kweli matatizo yapo tena makubwa Sasa hivi wale ambao walikua wanajificha kwenye amani kabla ya Maadamano...
Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu.
Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake.
Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha.
Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu.
TAARIFA MUHIMU.
Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.