wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Vijana tuache kuwa misukule ya wanasiasa

    Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo... ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Grok: Kuna Watanzania 21 Millioni kwenye social media

    Kwa mujibu wa AI ya Grok; Idadi ya Watanzania kwa Ujumla: Kulingana na sensa ya 2022, idadi ya Watanzania ilikuwa milioni 61.7, na inakadiriwa kuwa itaongezeka hadi milioni 77.9 ifikapo 2030, ikiwa na ongezeko la takriban watu milioni 1.6 kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa mnamo 2025, idadi ya...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu na wanasiasa mtandaoni wa kerwa na no reforms no ELECTION huku wengine wakipoteza wafuasi kwa kupinga kampeni hiyo

    Baadhi ya watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania wameelezea kukerwa na maoni ya wafuasi wa kampeni ya “No Reform, No Election” yanayoachwa kwenye machapisho yao binafsi. Miongoni mwao ni Wema Sepetu — Miss Tanzania 2006, msanii wa filamu, na mfuasi wa chama tawala CCM — ambaye...
  4. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

    Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe? Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
  6. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Siri na mustakabali wa maisha ya sasa ya wanasiasa na wasanii duniani

    SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Askofu Gwajima, John Heche na wanasiasa wengine

    HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA. 1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiokua na ajira, wakawagwajimanize hao wanasiasa wanaoona kama wao ndio wana hatimiliki ya kuiongoza nchi

    Habari za muda huu wanajamvi. Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa hao wanaowaambia wajitafutie ajira Huduma za afya ni mbovu. Miundombinu hairidhishi na mambo mengine...
  9. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Forbes Billionaires List ijumuishe WANASIASA wetu

    Wanasiasa wanachota Mabilioni ambazo ni Kodi za walalahoi (Mazombi) bila huruma. Wanaanzisha biashara kubwa kubwa nchini na ng'ambo. Kwann wasiwepo Forbes list of Billionaires ili tujivunie vya kwetu?
  10. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Nielemisheni jambo wanasiasa!

    Hivi vyama vingine ukiachana na CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo...yaani hivi vyama huwa vinaonekana vipo kwenye karatasi ya kura tu...na hata sidhani hata kampeni kama vinapigaga...sidhani kama vina ofisi zake...sidhani kama ina mikutano yao miguu... Lakini naona kama msajili anavitambua kuwa...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Yoyote yule, awe Kiongozi wa Serikali, au Dini, Wanasiasa , Wanaharakati anayeshindwa Kuukemea Utekaji, na Mauaji huyo Apigwe vita

    Hata itokee anahubiri vipi Amani, hata itokee anajua Kuongea na kuvutia, Hata itokee anatoa Misaada katika Jamii, IKIWA kinywa chake ni kizito kukemea UTEKAJI NA MAUJI. Huyo ahesabiwe kama Adui wa TAIFA hili.
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukitoa Askofu Gwajima ni wanasiasa au watu wapi maarufu hawajabadilika kimitazamo tangu Hayati Magufuli mpaka sasa ?

    Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha . Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo . https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanafiki utekaji na mauaji yalipotamalaki walinyamaza

    Wana siasa uchwara walinyamaza kipindi mauaji na utekaji ukipamba moto. Walinyamaza kwakuwa waliotekwa hawakuwa ndugu zao,hawakuwa na sababu ya kuwasemea pengine waliona waliotekwa au kupoteza maisha ni vikaragosi tu. Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dini zimetutengenezea wananchi wajinga na wanasiasa majambazi. Ambao wamekuwa watawala wa ovyo kupita washenzi

    Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji. Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho nimeonyeshwa na mababu zangu walio tangulia Aridhini. Nimekaa nikaongea nao nikiwa peke yangu . Maongezi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Afadhali simba kafungwa ili tuepukane na kelele za wanasiasa

    Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
  17. B

    JamiiForums Tanzania Bashe atangaza kuwaweka ndani Wanasiasa wanaopinga Bei ya Pamba

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je wanasiasa serikalini ni vilaza kuliko zamani?

    Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella , warioba, salim, Msuya, Nyalali...... hata kwenye majeshi Mahundi. Je tunawatu bado wenye vipaji...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nina iangalia SA, kwa jicho la huruma sana, wakizifuata saundi za wanasiasa uchwara, watakiona!

    Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo ujazia pengo la 20%,wanatokea wanasiasa uchwara jamii ya kina Heche, wanawa propergate, wazungu...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
Back
Top Bottom