wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Open University ni kwa ajili ya waajiriwa na wanasiasa watuambie tu

    Haiwezekani sisi wengine vitu vinakuwa vigumu kufanyika kwetu. Ishu ya mitihani kupotea ni jambo la kawaida sana pale chuoni, ishu ya kusahihishwa mitihani kwa muda mrefu hata miezi miwili japokuwa wanafunzi ni wachache pale ila ni kawaida sana, research kucheleshwa bila ya sababu ya msingi...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwezi wa Ramadhan umegeuzwa kuwa mtaji wa wanasiasa wa CCM, hongo ya kufuturisha imevuka mipaka sasa

    Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele. Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
  5. immortanity

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga, kuheshimu jitihada za Rais Samia

    Wakuu uchawa unakomaa kila siku == Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuacha kupotosha jamii na badala yake kuheshimu juhudi za serikali katika kuleta maendeleo. Akizungumza na waandishi wa...
  7. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania wanachofanya sasa hivi ni kuamua kukwepa ngumi ya uso kwa kufumbo macho. Issue ya VETA ni ajenda ambayo imeletwa kimkakati

    Kitaalamu serikali huwa Ina njia zake za kukwepa hoja na kujisafisha. Hivyo kila utawala huwa unakuaga na kiongozi anayetupiwa takataka ili azibebe na kuwaltea wananchi. Rais alipofariki - hii taarifa alipewa Majariwa. Vijana kukosa ajira -hii pia kapewa majaliwa. Korosho za mtwara -hii pia...
  8. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuthibitisha maudhui ya Akili Mnemba kwani yanaweza kutumika upotosha kuhusu Wanasiasa wakati wa Uchaguzi

    Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Shikamana na Jukwaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanasiasa wanaoftarisha

    Tuusikilize kwa makini
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani kwanini vijana wengi wanasiasa, hususan wa CHADEMA, hukosa ujasiri kujitambulisha field kuliko kwenye mitandao ya kijamii?

    Je, huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi? Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao? Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi...
  11. Moaz

    JamiiForums Tanzania Njia za wananchi kutambua propaganda za wanasiasa kipindi hiki cha uchaguzi kwa sababu zishaanza tayari

    Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu

    Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kudumisha amani ya taifa. Aidha, wameeleza kuwa hawaungi mkono wanasiasa wenye kauli za vitisho na zinazoweza kusababisha...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Wananchi Watakiwa Kupuuza Maneno ya Wanasiasa Wanaodai Kutumwa na Viongozi wa CCM" kuja kugombea

    Wananchi mkoa wa Ruvuma wametakiwa kupuuza maneno ya baadhi ya wanasiasa wanaotumia majina ya viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi, kuwarubuni na kuwaambia kuwa wametumwa kuja kugombea nafasi za ubunge na udiwani badala yae wasubiri wakati wa kampeni kuchagua watu sahihi. Soma Pia: Ruvuma...
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

    Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
  16. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  17. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Songwe: Nakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama ‘gheto"

    Eh kumbe kuna wanasiasa wanaifanya Tanzania kama geto? Hawa si wa vyama vya upinzani kweli? Mh namuona kama Lissu, Lema na wengineo linawahusu sana =============== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama ‘gheto’...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Agencies za ukahaba zili ripoti ongezeko la kihistoria la uhitaj wa huduma zao pale viongozi na wanasiasa 3000+ walivyokutana kwenye mkutano wa DAVOS.

    Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba. Huwa wanakutana kuzungumzia kupatia suluhisho la maswala yanayoikumba dunia ikiwemo umasikini. Naona wana deal kweli...
Back
Top Bottom