wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Misiba ya wanasiasa, ishara ya mtengano wa kiitikadi kwenye shida na raha

    Viongozi wa dini kemeeni, wanasiasa kemeaneni. Msiba miaka yote haujawahi kuwa na itikadi wa chama ni wetu sote. Mmezalisha tabia ya kuvunja mashirikiano kwa sababu ya awamu na Matakwa ya kiongoz aliyetangulia. Aliwajengea woga na kuwafanya kuishi kwa kubaguana. Si afya kuendelea hivyo, msiba...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwako Prof. Janabi, Heshima yako na hongera sana kwa kuitendea haki taaluma yako vyema

    Kwako Prof JANABI. Heshima yako na hongera sana kwakuitendea haki taaluma yako vyema. Tarehe 12/6/2021 umewasilisha international report kwa Mh Rais. Ulijipanga vizuri mno. Ulitulia sana, Body language inamvuta msikilizaji tangu ulivyopresent kabla ya uzinduzi na hatimaye hotuba yako nje...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  5. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Aisee! Wanasiasa...

    Huyu kazindua transformer.
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Watu hatari zaidi tusiowajua ni Wanasiasa

    Watu hatari zaidi tusio wajua ni "wanasiasa" Wana urafiki wa kinafiki. Hawa ni watu hatari zaidi duniani! Huleta vita duniani. Hutengeneza chuki, uhasama kwa jamii na jamii. Huwatenganisha watu na jamii. Huchafua watu waonekane wabaya. Bora mchawi kuliko mwanasiasa. Mchawi hawezi kukologa...
  7. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa bora watano kwangu mimi kwa sasa

    1> Philip Mangula Huyu kama ni umeme tungeita 'under ground cable' yaani unaona taa tu zinawaka lakini nyaya huzioni. 2> Abdulhman Kinana Huyu yupo makini sana na ndio huyu alizunguka nchi nzima kuisafisha CCM 3> Freeman Mbowe Huyu ndiye ameifanya CHADEMA itambulike kitaifa na kimataifa 4>...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, Wamachinga bado ni mtaji wa Wanasiasa au waanze kufuata sheria bila shuruti?

    Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM. Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
  9. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Polisi kupambana na ujambazi kwa maelekezo ya wanasiasa inakupa tafsiri gani?

    Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira likizidi kupuuzwa na wanasiasa, basi nasema "This country will be fated to end badly''

    Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu wanaozurura mtaani pamoja na wauguzi wanaozurura mtaani eti kwa kisingizio cha ajira ni tatizo la...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Uzawa ni dhana ya kishenzi inayotumiwa na wanasiasa janja janja na wenye Akili ndogo kabisa

    Ukifatilia tawala kubwa zilizopitA kale, za Sasa na matAifa yaliyoendelea kiuchumi Kuna mchango mkubwa Sana wa wageni kutoka nje. Ukiangalia asili ya Trump na Obama wote walitoka nje ya marekani. Ukizungumzia nguvu ya kivita Basi zungumzia nguvu za waisraeli waishio Marekani na Russia ndio...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa nawaonya kwa mara ya kwanza. Hili Taifa ni mali ya watanzania na si mali yenu

    Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu. Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya. Kununua magari yenu pesa zipo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na wanasiasa wanafiki, waongo na wanaotumika kucheza na akili zetu kama huyu

    Asubuhi.... "Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata nalipenda vile vile na hiki Cbama sitaki nimuachie kabisa Mtu mwingine " Usiku.... "Nampongeza...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa upinzani wamerogwa au ni matumbo yao?

    Watanzania sijui tuseme kuna kitu hakipo sawa kwenye vichwa vyetu. Marais wastaafu wawili waliisha andika vitabu kuhusu maisha yao tangu utotoni mpaka madarakani. Wameonyesha kwenye maandishi jinsi CCM inavyotumia kila aina za mbinu za hila ili ibaki madarakani. Mkapa ameonyesha jinsi CCM...
  16. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

    Wanabodi, Naweza kusema ni mwisho wa enzi. Lengai Ole Sabaya angeomba msamaha mapema na kukubali makosa angeishi kwa amani, Alitegemea nguvu za mwanadamu kumshika mkono wakati hana mkataba na aliyemleta huyo mtu Duniani Ni ukweli na unaumia pale unapoomba msamaha wa kweli kwa maovu na mabaya ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna 'Wanasiasa' Waandamizi wengine hawakuhudhuria Msiba Chato na leo ndiyo wameenda 'Kuhani' na 'Kuzuru' Kaburi?

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato mkoani Geita kuangalia kaburi lake na kumjulia hali Mama yake Mzazi Suzana Magufuli. Waziri Mkuu Majaliwa amefika nyumbani kwa Hayati Dkt. Magufuli...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini dua zenu kwa wanasiasa zimejaa machukizo na unafiki

    Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani. Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa kumuomba Mungu ampe afya na maisha marefu kwakuwa hamkuwa na dhamira ya kuomba bali maslahi. Mtu...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania msipende na kufurahia mno Ushindi wa 100% katika Chaguzi zenu kwani mnadumazwa Kifikra na Wapiga Kura Wanafiki

    Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya. Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha...
Back
Top Bottom