wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PLOII

    JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  2. Daby

    JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  3. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  5. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na Majimbo

    Najiuliza kwanini wanasiasa wengi ambayo tayarii walikua wakiyatumikia majimbo yao kwa miaka mingi zaidi ni wagumu kuwaachia watu wengine wenye nia ya kutumikia wanainchi ? Mfano: majimbo haya Bumbuli,, Rufiji,, n.k??
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaongea tu na kujiongelesha ila miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko hapa Tanzania.!

    Huwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Tanzania na ahadi zao najua kabisa hawa wanababaisha tu. Miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko kwa wananchi . Labda kama mnazungumzia kujenga barabara, matundu ya chooo vyumba Vya madarasa na zahanati. Ila mabadiliko yenyewe ambayo yanaweza kuitoa nchi kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini na wanasiasa

    Unaweza kumpigania mtu kwa hali na mali na ukapoteza kila kilichochaki mwisho wa siku unaompigania akakugeuka. Mfano mzuri wabunge wa upinzani jinsi walivyopiganiwa baadae kuunga juhudi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edda Sanga: Udhalilishaji katika Mitandao kwa Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai ngazi ya Uongozi

    Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanatumia bei ya Pamba kisiasa

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesema kuwa hoja za kisiasa kuhusu bei ya pamba nchini zinapotosha umma, kwa kuwa tatizo halisi si bei bali ni uzalishaji mdogo wa zao hilo miongoni mwa wakulima wa Tanzania. Akizungumza Jumanne, Juni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya kanisa katoliki kwa wanasiasa kutoa salamu kwa waamini kanisani ni kama ile habari ya kutengeneza tatizo wenyewe na kulitatua wenyewe

    Kutafuta ushujaa wa kinafiki namna hiyo kwa taasisi kubwa kama Roman Catholic ni fedheha kubwa sana, licha ya kua marufuku hii ya kisiasa kanisani pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti upendeleo wa wa baadhi ya makasisi waandamizi wa kanisa hilo kwa viongozi wa kisiasa, hususani wa...
  14. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu: Baada ya kukubali Wanasiasa wawe juu ya Utendaji wa Mifumo, TAKUKURU imejifia rasmi na Rushwa ndo kila kitu Tanzania

    Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi bila hofu yeyote. Kwa wasiojua, Mataifa yote yaliyofeli haikutokea kwa siku moja. Nigeria unayoiona...
  16. N

    JamiiForums Tanzania TFF tunawaomba na sisi tuje na mabango ya wanasiasa na vyama tunavyovipenda kwenye dabi June,25 maana mabango ya mama yatakuwepo uwanjani

    Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie kuingia na mabango ya vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu pendwa. Kwa nchi hii ilivyo na upuuzi...
  17. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa basi hata nyie viongozi wa serikali tunaomba msichangaye kuomba amani na sera zenu kwenye dini

    Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao. Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa. Wakija kwenye dini kuungana tuwaone kama waumini wala sio viongozi sababu dini mjaitaka kuwa na siasa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wakutana kujadili suala la ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar, Juni 12, 2025 Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar) kimeandaa kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha wadau kutoka taasisi 15 zisizo za kiserikali...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wanasiasa matajiri Tanganyika na Zanzibar

    Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsi
Back
Top Bottom