wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Vitabu vitakatifu vimekataza kuabudu miungu. Je, kuanzisha uchifu siyo kupingana na maagizo ya Mungu? Wanasiasa mnamkufuru Mungu

    Nchi imekuwa ngumu kutawalika, tunawatafuta machifu Kwa lengo lakuwatumia Kwenye Siasa 2025. Hii inatokana na ukweli kwamba wale wanaoitwa machifu siyo viongozi wa kimila Bali ni wazee wastaafu wenye kadi ya Chama cha Mapinduzi. It's like Jumuiya ya wazazi imeshindwa kuaminika nakufanya kazi...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

    Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu. Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu. Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanapotea, wanakufa lakini wanasiasa na Viongozi wa dini kwao siyo agenda

    Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao. Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ras Mtimanyongo: Zitto yuko sahihi Wanasiasa wadai Tume huru ya Uchaguzi, Katiba Mpya itadaiwa na Wananchi pale itakapohitajika

    Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie. Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi. Maendeleo hayana vyama!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Chadema hawana madaraka ila wana furaha na wana watu nyuma yao; CCM madaraka yanawatesa

    Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha. Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
  6. Yohana M Magembe

    JamiiForums Tanzania Kundi la wababaishaji wa kisiasa ni lipi kati ya haya?

    Katika kuzingatia màhitaji ya wakati huu kisiasa, watu wengi wamejiweka katika nafasi za kisiasa na kila mmoja akijiona mbobezi wa mambo ya siasa na mchambuzi mahili, hapa yamejitokeza makundi kadhaa kwenye Jamii zetu ambayo. 1) Wasomi na wahitimu wa vyuo vikuu bila kujali amesomea nini wenye...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

    Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha. Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Najiuliza, ipo faida gani wanapata wanasiasa, kuyageuza mema ya mtu kuwa ubaya kwa wananchi?

    Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu Kumebadirika nini leo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake. Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Makasisi, wanasiasa na ufundi wa kubishana kimaadili: Msiwapotoshe wengine mwaka 2022 na kuendelea

    Mtandao wa intanet ni wa hivi punde na katika mambo mengi ni njia ya mawasiliano yenye nguvu zaidi kuliko watangulizi wake, yaani, telegrafu, simu, redio na televisheni. Kwa watu wengi vyombo hivi vya habari vimeondoa hatua kwa hatua urefu wa muda na umbali wa kijiografia kama vizuizi vya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

    Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza. Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga...
  13. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania UDOM na PhD kwa wanasiasa. Nini chanzo cha mchezo huu katika elimu ya nchi hii?

    Walioanza siyo tu UDOM, ni UDSM na OUT. SUA sijawahi kuwasikia wakitoa digrii za kisiasa kwa wanasiasa. Kwa ufupi wanasiasa wanaharibu elimu ya nchi hii kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo ambao wanapewa kuviongoza kisiasa. Cheo cha Vice Chancellor (VC) ni muhimu sana ktk uongozi wa chuo cha...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya wanasiasa kama hawa wasioweza kusimamia hoja zao za kupambana na corona unatarajia nini?!

    Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo. Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri! Hapo hana hata barakoa.
  15. mngony

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

    Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maprofesa bakini vyuoni kulinda heshima zenu dhidi ya wanasiasa

    Jamii inawaheshimu sana wasomi hasa maprofesa, jamii inadhani kuwa professor sio mtu wa mchezomchezo, anafahamu na kujua na kuweza kila kitu na kila jambo. Inapotokea tukio la professor kubezwa, kuzomewa na kutukanwa au kushindwa kufanikisha jambo inawashangaza sana. Sio jambo la nadra jamii...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama na wanasiasa wa Tanzania wana la kujifunza kwa Wazambia kuhusiana na kesi za matokeo ya uchaguzi

    Mwaka huu nimetokea kuvutiwa na siasa za Zambia na kuamua kufuatilia mambo kadhaa kupitia mitandao ya kijamii. Kuna jambo limetokea siku za hivi karibuni ambalo limenishangaza sana na ni somo kubwa sana kwa siasa za Tanzania na mhimili wa mahakama. Wote tunakumbuka uchaguzi wa wenzetu...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania MORUWASA Morogoro na ufisadi wenu na wanasiasa

    Kama kawadia yangu napenda kula raha kila wakti noti zikijaa mfukoni. Jana nilikuwa Morogoro kwenye hotel ya Mbunge Shabib, inaitwa MORENA, njiani kabisa pale Msamvu. Hotel Porsche sana! Kilichonishangaza, maji ni ya kumwaga ukilinganisha na maisha yetu ya Dar. Lakini pia Moro maji ni shiiida...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

    Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi. Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

    Wanabodi, Nimekutana na bandiko hili lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu.. Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho. Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko- Tuhuma zenyewe ni hizi Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu...
Back
Top Bottom