wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Lini wananchi wataacha kuziamini porojo za wanasiasa?

    Tangu nchi ipate Uhuru Haakuna Ilani ya Uchanguzi ya chama cha siasa isiyokuwa na agenda kusabambasa maji, zahanati, pembejeo, masoko, ajira kwa wananchi, lakini baada ya uchaguzi kumalizika na mshindi kutangazwa hakuna ahadi iliyotekelezwa. Uchaguzi ukija wanarudia yaleyale tena mpaka miaka...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni wabunge na wanasiasa wangapi wanajishughulisha na biashara ya mafuta?

    Juzi kati hapa niliona sehemu wamarekani wanalalamika. Wabunge wao wanajihusisha na inside trading kwenye soko la hisa. Inaonekana kwa kutumia nafasi zao wanapata taarifa nyeti zinazowawezesha kufaidika na soko la hisa. Wakata waache kujihusisha na habari za soko la hisa. Sasa hapa kwetu, hivi...
  3. Tuna nyanyasika

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wanatudanganya sana?

    Wakuu poleni na majukumu, Kwa nini wanasiasa wanatudanganya sanaz Kauli za PM ngapi zinasema kuhushu kushuka bei vitu tangu hata kabla ya vita ya huko ukraine? Vina shuka au ndo vinaongezeka? Kwanini asiwe mkweli. Ni tume ngapi zilizoundwa na PM, je mpka leo ripoti imekuja? Niwakumbushe tu...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wapiga madili na Mafisadi kama Abdala Bulembo wanaichafua CCM. Wafunguliwe mashitaka kwa kutafuna mali za umma.

    Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi. Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii anajinasibu kupiga kelele kuziba wanaopinga ufisadi bila aibu. Ina maana anataka kuaminisha watu kuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, Kilimo hakihitaji maafisa wa serikali walio committed, kinahitaji ushiriki wa wanasiasa na matajiri

    Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari kwenda Kwa Mhe. Mkubwa wa nchini kulitolea ufafanuzi, tunafahamu nguvu watakayotumia akina Zitto...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania DC wa Serengeti atoa siku 7 kwa wanasiasa waliowadanganya wafanyabiashara

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Vicent Mashinji ametoa siku 7 kwa viongozi wa siasa waliowaambia wafanyabiashara warejee katika maeneo yao ya awali ya biashara na kuondoka katika maeneo yaliyotengwa, kwenda kukanusha kauli zao vinginevyo atawachukulia hatua kali za kisheria. “Niwaagize wote...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanasiasa wanakula rushwa au rushwa ndio inawala wanasiasa? Vituko vimezidi

    Yawezekana kabisa mifumo ndio imeoza kwa rushwa hivyo wanasiasa wanapoingia katika uongozi wowote ule Rushwa ndio inayowakaribisha kama mwenyeji. Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaoendesha hii dunia na ndio wanaotengeneza mifumo ovu ya kifisadi. Wewe jaribu tu kuwaangalia wabunge na madiwani...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

    Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru. Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru. ====== Samia...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    1. Ni Majuha 2. Ni Wanafiki 3. Ni Waongo 4. Ni Waoga 5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi 6. Wana Uwendawazimu wasioujua 7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine -- Mfano wanasiasa, relationships, lazima mtu awe juu yetu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania epukeni sana Kuzoeleka kila mara na Siti za Ndege Angani, bali zoelekeni na Changamoto nyingi za Watanzania walio ardhini

    Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile. Na hata pia Kiafya Mwanasiasa Kusafiri kila mara (tena kwa Ndege) ndani na nje ya Tanzania siyo vyema sana na ni Hatari...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wanasiasa wanaishi bila mashaka, hakuna aliyeumwa hata na sisimizi

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya DW amesema wanasiasa wakubwa wa upinzani wako wengi nchini Tanzania na hakuna anayeishi kwa mashwaka kwa kuwa hakuna aliyenyukuliwa hata kuumwa na sisimizi, hivyo Tundu Lissu aulizwe mashaka yake ni yapi. Aidha kuhusu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Vibaraka wana cha kujifunza kwa Mobutu Ssese Seko

    Asalamalakum, Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi, unfortunately kumekuwa na "scandals" kadhaa za wanasiasa kuuza rasilimali za taifa kwa wawekezaji bila...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali daima ni wahanga wa wanasiasa

    Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani. Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

    Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
  17. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
  18. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wanasiasa kutokukosa jibu la kujitetea hata kama wakibananishwa kwenye makosa

    Wakuu, hii imekaaje, kwamba wanasiasa wote wa afrika (mfano Kenya). Unaweza ukamkuta na kosa na kulieleza bungeni ili aweze kutoa majibu, likini majibu ya mawaziri wenye wizara husika yanakua ni. a) Tumesikiliza tutalifanyia kazi b) Hilo lipo kwenye mpango, tutalirekebisha Haya majibu huwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Eneo la Somaliland linabadilika kuwa karata ya wanasiasa, badala ya eneo linalotakiwa kuendelezwa?

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni imetokea hali ya ajabu katika siasa za eneo la Pembe ya Afrika, ambayo inafuatiliwa na jumuiya ya kimataifa. Hali ya kushangaza mgogoro wa ndani wa Somalia, au tunaweza kusema taabu ya watu wa Somalia sasa inaanza kuonekana kama ni neema ya wanasiasa...
Back
Top Bottom