wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa (Zitto na Kitila) acheni kuingilia mambo ya mipira, Mnategemewa kuwa mfano katika kuheshimu mamlaka

    Sakata la Manara tuwaachie TFF! Walichokiamua wao sisi kama watazamaji tunatakiwa kuheshimu! Kama kuna rufaa mwacheni mhusika mwenyewe! Kuilaumu TFF ni ishara ya kupungukiwa hekima; Watu kama ZITTO sikutegemea kabisa waoneshe ujinga hadharani! Kuna yule pia anajiita Prof. MKUMBO, huyu naye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

    Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine . Mfano wao ni kama wafuatao :- 1...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Eric Hamissi aliyekuwa DG wa TPA kaonewa baada ya kukataa kuhonga wanasiasa kama enzi za zamani

    WNAJAMVI, huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa. Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

    Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe. Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga. Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na Wanasiasa Wanaonunulika, Hawafai hata kuwa baba wa familia

    Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama tawala. Binafsi mimi huwa napata tabu sana kuwaamini wanasiasa kinachonishangaza mtu anahama na watu...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro na Loliondo ni ushahidi mpya wa uwepo wa wanasiasa uchwara

    Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa. Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanashangaza Sana; hawataki kujiingiza kwenye Siasa halafu wanalaumu Wanasiasa!

    Kwema Wakuu! Napenda Siasa Kwa sababu ni mchezo wa wenye wajanja. Napenda Biashara Kwa sababu ni mchezo wa wenye bahati, napenda Fasihi na Falsafa Kwa sababu ni uwanja wa Akili na hekima. Napenda sheria Kwa sababu ni mto ubebao Haki na Dhulma. Itoshe! Watanzania wengi ni watu wa ajabu Sana...
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wetu Wanalamba Asali?

    Uongozi ni namna ya kushughulika na katatizo yaliyopo. Kipindi Cha Awamu ya Tano, ilijikita kushughulika na matatizo ya wananchi kwa kiwapelekea miradi mingi haswa ili wafaidi keki Yao. Miradi ya maji, umeme, barabara, hospital, elimu, n.k ndio ilikuwa kipaumbele. Wanasiasa walilia sana na...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kutuaminisha kwamba Umachinga na Bodaboda ni suluhisho la ajira kwa vijana

    Naandika nikiwa na masikitiko makubwa sana. Ina maana viongozi wetu hawaoni kwamba umachinga na bodaboda sio suluhisho la uhakika kuhusu ajira? Viongozi wote wa Chama Tawala na upinzani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia makundi haya mawili ku-boost agenda zao za kisiasa wakati wakijua hizo...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa ambao inasadikiwa watajiunga umoja party huko mbeleni watatujuza mengi na kubadili upepo wasiasa

    Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani 👇 1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili. 2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka. 3. Dk . Bashiru...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Vijana ambao Miaka yote Sikuwahi Wanaona kama Wapo Smart Upstairs

    Na huu ni mtizamo Wadau msijenge chuki pale ambapo nitakuwa nimewagusa watu wenu wa moyoni. 1. Mwigulu Nchemba 2. January Makamba 3. Nape Nnauye 4. Godbless Lema 5. Kigwangalla 6. Paul Makonda 7. Na wengineo. Hawa jamaa kunakowabeba sana ni mifumo yetu mibovu na uwepo wa wajinga wengi kuliko...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Busara za Myles Munroe na mtihani wa wanasiasa wa Kitanzania haswa Marais wetu

    Nimeitazama video moja ya hayati mchungaji Myles Munroe akiwaongelea wanasiasa wa dunia hii. Nikatamani hawa wa kwetu waisikilize ili waondoke na chochote kitu kitakachowasaidia katika wito wao wa siasa. Ni video yenye kutafakarisha kwa kina juu ya maisha mazima ya mwanasiasa. Anasema kwamba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, Rais Samia ameleta matumaini. Aliyepita aliwachukia wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima

    Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili. Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sasa Wanasiasa wameachwa Watupu. Wananchi wamegundua wanachezwa Shere.

    Ile ya kutushauri twendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini... Wananchi wameanza kukataa. Wananchi wengi wamekuja gundua wao wanasiasa WANAKULA NYAMA MTORI WANAUACHA JUU. Wananchi wengi wamejikuta wakimaliza Mtori na kukuta chini patupu. Wachache wanasema kila wanapokaribia kufika chini ya...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Wananchi wayatumbukiza kwenye maji, wayachoma magari ya kifahari ya wanasiasa kisa ugumu wa maisha

    Wakati maandamano yakiendelea Nchini Sri Lanka inadaiwa kuwa hivi ndivyo baadhi ya wananchi walivyoamua kushusha hasira zao kwa familia ya Rajapaksa ambayo inatawala nchini humo. Wameamua kuyachoma na kuyatupa ndani yam aji magari ya kifahari ya wanasiasa hasa kutoka familia hiyo Watoto na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hili la wanasiasa kushambulia taasisi ni wazi kuwa hakuna mifumo Tanzania

    Imeibuka hulka ya wanasiasa kushambulia taasisi na watendaji majukwaani. Ni dhahiri kwamba mifumo ina mapungufu. Hivi PM anashambulia taasisi au mtendaji ambaye juu yake kuna bodi, katibu mkuu na waziri, hii ni hulka gani? Micromanagement sio ideal. Yupo mmoja alihangaika na principal officers...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mafisadi hudanganya wananchin kwa chakula na peremende. 2025 wapigwe chini.

    Msikubali kudanganyila kwa misosi na jojo za kutafuna.
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachovu acheni kumsakama Rais Samia!

    Kuna kundi la wanasiasa, wafaidika na sera za yule jamaa yetu aliyetangulia mbele za haki, hawaishi maneno maneno kumsakama Mama Samia. Wanamsakama utafikiri wataenda kumfufua marehemu amalizie ngwe yake ya miaka minne iliyobaki. ACHENI UNAFIKI! Maneno maneno.... oooh madeni yanazidi.. mara...
  20. babu M

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson ni mfano wa wanasiasa hawamaanishi wanachokisema!

    Alichosema July 2021: Na alichosema leo 13th April 2022:
Back
Top Bottom