wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachochezi walivyotumia Mitandao

    Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia. Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na kuwekwa katika makundi yaliyounganishwa na mvutano kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kundi la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu, wenye maslahi binafsi kuvuruga tunu ya amani

    "...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu. Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election', Oktoba Tunatiki/Tunatoka, Samia Must Go zilichochea watu washiriki kwenye vurugu

    Wakuu Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Tunaona wenzetu wanapenda kuombaomba michango. Msiwachangie

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewakosoa vikali wanasiasa wanaotegemea michango ya wananchi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “kuombaomba kisiasa,” kikiwataka Watanzania kuelekeza fedha zao kwenye shughuli za maendeleo badala ya kuchangia miradi isiyo na uwazi. Akizungumza leo Aprili 17, 2026 wakati...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

    Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz -Ni kundi la wanasiasa mafisadi wanaojiita wawekezaji

    Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana! Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dunia imeghafirika na itaendelea kughafirika kwa ujinga wa wanasiasa

    Kwa ufupi wanasiasa ndio wametufikisha hapa tulipo. Siasa za Trumpa na Netanyahu hazina muelekeo salama ilitakiwa Dunia iwatenge ikibidi hata kivita, Dunia inaaminishwa kuwa Marekani ndio walinda amani na demomrasia lakini kumbe ndio wafurugaji wa amani na demokrasia. Wanasiasa wa Afrika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la nchi nyingi ni vyombo vya ulinzi na usalama na sio wanasiasa

    Hili ndio tatizo: Kulinda wauaji, majizi na mafisadi hata kama yanagharimu nchi na watu wake Huu mfumo una nguvu katika nchi za hovyo hovyo na kidogo umedhibitiwa katika nchi zilizostaarabika zinazoheshimu raia wake na zenye mifumo inayolinda maliasili za nchi dhidi ya ujambazi wa viongozi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wajanja wengi wamejificha, kidole mdomoni, wanaadabu. Onyo la MO29 ni mpumbavu pekee anaweza kulipuuza

    Hamjambo wote! 1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano. 2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza ku-project matukio, lakini ninakuhakikishia ukweli ni kuwa MO29 ingefanikiwa walau kwa 50% mpaka...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania T.B.T- (Video)Hamis Mwinjuma MwanaFA Nimeghairi Kuingia Kwenye Siasa, Kwasababu Wanasiasa Wanachukuliwa Waongo Na Sio Wasafi

    https://www.instagram.com/reel/DWoGsnzEfb4/?igsh=ajNybW5rZm1wanVu
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Public Land si ya Wanasiasa! Eldoret Residents Strike Back, Demolish MCA-linked Buildings

    Chaos ilizuka Kipkaren, Eldoret, after angry youth decided enough is enough. Buildings linked to Kipkenyo Ward MCA David Leting zilivunjwa na wananchi wakidai ni mali ya umma iliyogeuzwa private investment. Residents wanasema hii land ilikuwa imewekwa kwa ajili ya soko na shopping centre—but...
  12. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wasio timiza ahadi na wasio fuata Katiba watungiwa wimbo

    Hii rabuda inaweza ikawa njia nzuri Sana kusikika kuliko tunavyojaribu kudai haki kwa maaandammano. Bahati nzuri mwimbaji aliwahi kuwa Mwanasiasa CHADEMA, NCCR MAGEUZI na CCM kabla hajaacha Siasa rasmi. https://youtu.be/DTSA0cQ6Xxk?si=aYZ8VP9NHdHoxlI_
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Viongozi na wanasiasa ishini vizuri na raia, kuna kifo na ukifa ukiwa na ubaya na raia basi watafurahia kifo chako

    Kuna tabia inayozidi kujitokeza na kukua siku hadi siku katika jamii—wananchi kuonyesha kufurahia vifo vya baadhi ya viongozi au wanasiasa. Ukichunguza kwa kina, hali hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na mwenendo wa baadhi ya viongozi kuishi maisha yasiyo rafiki kwa wananchi wanaowaongoza. Pale...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachunguze hii ya mstuko wa moyo isijekuwa ni mstukizo wa moyo

    Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla Alianza Job Ndugai. Alifuata Jenista Mhagama. Na sasa Wiliam Lukuvi. Je, walikuwa wanaugua kwa muda mrefu wakaficha au? Nani atafuata? Kunani?
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mach 17 kesho tunaenda kushuduia unafiki wa kiwango cha kupitiliza cha wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kesho Machi 17 kwenye kumbukumbu ya Hayati Magufuli tutashuhudia unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ?

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia hawa jamaa hawana time kabisa na samia bali ni njaa na tamaa. hawafikirii watanzania wenzao ni...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ni ishara mojawapo ya dini kutokuwa na umuhimu au maana kwa binadamu.

    Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko. Fikiria watu wanajua kabisa wameingia madarakani kwa kupitia uporaji uchaguzi, kuumiza na kuua wengine ila kauli ya kwanza...
Back
Top Bottom