Yanga haina wanasheria kila mara ni kushindwa kesi

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,762
Hamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.

Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo tu kwamba ni aina ya mashauri gani yanasikilizwa na CAS na ambayo hayasikilizwi??
 
Huwa wanashauriwa watafute mwingine ila wanakaza fuvu
 
Lengo la kwanza la club ni kushinda matches, lengo la kushinda kesi la TLS na Fatuma Karume!
 
Sasa kila siku kwanini mnapenda kufungua kesi? Ambazo hamjawahi kushinda mnaishia kutembezewa rungu
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.

Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo tu kwamba ni aina ya mashauri gani yanasikilizwa na CAS na ambayo hayasikilizwi??
Tunawalaumu Wataalamu bure, Shida ipo kwa viongozi. Wanadharau Wataalamu
 
Sasa kila siku kwanini mnapenda kufungua kesi? Ambazo hamjawahi kushinda mnaishia kutembezewa rungu
MImi ni Yanga ila hili jambo linafikirisha sana Mkuu
 
Kuna mtu anawala....
I mean anakula pesa kupitia kesi zao
 
Kwani viongozi wao wanasemaje,ina maana wao kwa akili za kawaida hawaonagi kua hizo kesi watashindwa hadi wakubali zifunguliwe.Inawezekana tatizo linaanzia kwa viongozi.wanasheria ni waanga tu.
 
IMG-20250502-WA0073.jpg
 
Kama hujawahi kumuona mtumishi hewa tangu uzaliwe basi mtafute mwanasheria wa utopolo ukimuona utakua umefanikiwa kumuona mtimishi hewa
Ninacheka ila hii ni fedheha kubwa kushindwa kila mara kwa mikurupuko!! Si afadhali tungecheza kuliko kukaa muda wote kwa false hopes?
 
Kuna mtu anawala....
I mean anakula pesa kupitia kesi zao
Hawatofautiani sana na wale wapigaji waliowaletea Manzoki kipindi cha uchaguzi kuwa atasajiliwa na Simba SC na kupiga naye picha kisha kimya milele.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kama hujawahi kumuona mtumishi hewa tangu uzaliwe basi mtafute mwanasheria wa utopolo ukimuona utakua umefanikiwa kumuona mtimishi hewa
Mwanasheria wa utopolo lazima awe utopolo pia. Sasa utopolo atashindaje kesi?
 
Ninacheka ila hii ni fedheha kubwa kushindwa kila mara kwa mikurupuko!! Si afadhali tungecheza kuliko kukaa muda wote kwa false hopes?
Najua tu mwenyekiti wa kitongoji anatakiwa awe na kitongoji chenye ukubwa wa viwanja 60 vya mpira kama Vatican
 
Shida ya Yanga si mwanasheria, shida ni viongozi waliopo. Kwa aina ya kesi wanazopeleka Yanga huwezi kuzishinda hata uwe na mwanasheria gani
 
Hamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.

Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo tu kwamba ni aina ya mashauri gani yanasikilizwa na CAS na ambayo hayasikilizwi??
Wameshindwa nini
 
Back
Top Bottom