Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu,
Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiiforums wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake.
Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini?
Unaweza kunijibu.