Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti.
Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k.
Kwanini
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025
Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni
Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye...
Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi.
Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa!
Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na...
Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI?
Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
Mzuka,
Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini?
Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa).
Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha.
Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali ukiachia mbali kutubagua tunapokwenda kwao ingawa hatuwabagui wajapo kwetu.
Sijui kwanini wazungu...
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
Kuna njia nyingi za kummaliza mwanasiasa kisiasa; moja ya njia hizi ni kuteua na kutumbua bila kutoa kupewa sababu ya kuteuliwa na bila sababu ya kutumbuliwa.
Kanda ya Ziwa ni eneo moja wapo ambalo kwa bahati mbaya halina wanasiasa wenye nguvu katika bunge la sasa. Mhe. Magufuli alihakikisha...
Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa
Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa.
Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
Bila Shaka mpo Pouwa!
Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema.
Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa...
Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata.
Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi.
Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
Salama Ijumaa hii?
Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai.
Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.