wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Noah Saputu: Waziri wa Ardhi Wananchi Wanakutegemea Kutoa Haki

    MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI "Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi. "Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kuchukua hatua kutatua migogoro baina ya Hifadhi na Wananchi

    SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI "Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali imekuwa inachukua hatua...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

    Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai. Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Ntate Awaomba Wananchi Kuwa Walinzi wa Miradi ya Maji Inayoendelea Kuzinduliwa

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate katika sherehe za Mbio za Mwenge Temeke, amemshukuru Rais wa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ukivurunda CHADEMA utasahaulika ungali hai!

    Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu. Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano. Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
  6. JamiiForums Tanzania CCM haikujenga uwanja wa Sokoine Mbeya, iliwapora wananchi. Uwanja urudishwe kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa Sokoine kisha CCM kujimilikisha. Uwanja wa Sokoine ulijengwa na wananchi wa Mbeya Mjini, kisha...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanzisha Vitambulisho vya Kidigitali vyenye taarifa zote za Wananchi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema Serikali yake inatarajia kutambulisha vitambulisho vya kidijitali vyenye data ya kila raia. Wakati akifungua Mkutano Mkuu wa saba wa ID4Africa Augmented General mjini Nairobi, Ruto alisema hii ni sehemu ya mpango wa serikali kuweka mfumo wake wa kidigitali wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Watakiwa kutenga Fedha za Ndani ili Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi

    WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili kuunga mkono juhudi za wananchi katika maeneo yao ya kiutawala. Agizo hilo limetolewa leo 22 Mei, 2023...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ni Wananchi: Kuunga mkono Haki na Uhuru wa Wananchi

    NCHI NI WANANCHI: KUUNGA MKONO HAKI NA UHURU WA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Mfumo wa Nchi Ni Wananchi unasisitiza umuhimu wa haki na uhuru wa wananchi katika nchi. Unalenga kuwawezesha wananchi kutoa maoni yao, kuwasilisha wasiwasi wao, na malalamiko yao kwa uhuru. Makala hii inajadili...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli na Nape Nnauye walipoteza upendo wa Wananchi kwa Bunge lao

    Miaka ya 2010 hadi 2015 bunge la JMT lilikuwa ni kivutio cha wananchi kulitazama. Mara baada ya kuingia madarakani kwa utawala wa awamu ya tano wakalivuruga Bunge. Kitendo cha kufunga bunge lisionyeshwe live ilikuwa ni pigo kubwa na ugonjwa mkubwa uliowafanya wananchi kulipuuza hilo Bunge. Na...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi mna imani kubwa na Chadema. Itaendelea kuwatetea japokuwa sasa asali ni kigingi

  14. JamiiForums Tanzania Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bunge la wananchi hongera mmetisha!!

    Leo palikuwa na Bunge la wananchi lililoendeshwa na Mwenyekiti wa CDM Freeman Aikaeli Mbowe Kigoma na kikao kingine kiliendeshwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kukusanya kero za wananchi katika masuala ya kodi. Hadi tunakwenda mitamboni, kikao Cha wananchi pale Bandari salama kilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Majaliwa anastahili kuwa kiongozi mkubwa. Ana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi

    Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia. Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in...
  17. JamiiForums Tanzania Kigoma waikataa CHADEMA, wananchi wengi kususia mkutano

    Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea. Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanavyonufaika na uwindaji wa kitalii

    Uwindaji wa Kitalii Wanufaisha Nchi, Billioni 9.6 zatolewa Kwa Halmashauri na Vijiji Pembezoni mwa Mapori ya Akiba na Mapori Tengefu - Kamishna Mabula Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mabula Misungwi Nyanda amesema shughuli za Uwindaji wa Kitalii...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

    Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm. Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
  20. JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…