wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama CCM hamruhusu wananchi kuuliza maswali kwenye mikutano yenu basi mnamaliza pesa tu

    CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe. Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni nini haswa kiko kichwani mwao wananchi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ya upinzani kuchukua nchi 2025, ni kuwatia wananchi HASIRA juu ya namna watesekavyo kwenye nchi yao

    Ki ukweli kila ukifikiria namna nchi hii ya TANGANYIKA inavyohujumiwa na kikundi kidogo kilichojitanabaisha kwamba ni chama tawala unatamani kuhama nchi. Wananchi tumechoka na mifumo mibovu iliyotengenezwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya hicho kikundi kidogo huku majority ya wananchi wakiumizwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamekataliwa huku mikoani au wananchi wapo busy na kilimo?

    Mikutano ya adhara ya CCM kukosa wafuasi na kugubikwa na watoto inaleta tafsiri ya kukataliwa au wazazi wa watoto wapo busy na kilimo?
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli alijuaje hali halisi ya maisha ya Wananchi katika uongozi wake?

    Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia. Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma: Wananchi wanakosa imani kwa Serikali kutokana na matumizi yasiyoeleweka

    Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imewafungia baadhi ya wazabuni ambao wamekuwa wakikikiuka mikataba ya ununuzi, kujihusisha na vitendo kinyume na maadili ya sheria za ununuzi wa umma. Ukosefu wa uwazi katika mchakato wa ununuuzi wa umma kunasababisha changamoto za upatikanaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, EWURA yatoa onyo wanaohodhi mafuta

    Kuna ujumbe wa Mdau katupia picha hii na kueleza kuwa hali ilivyo katika Mbulu Mjini Mkoani Manyara Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kupata Petrol ni baada ya takribani wiki wakikosa huduma ya Nishati ya Petrol. Hii inatokana na uwepo wa vituo vitatu pekee vya kutolea huduma hii muhimu na...
  10. JamiiForums Tanzania Kama umesoma kwa kodi za Wananchi na unapotosha wananchi hao kwa masilahi binafsi unajisikiaje?

    Nimekaa sehemu nimesikiliza professor mmoja mmbobezi wa somo la Development studies kwa kifupi DS. Akijikita kuwaeleza wananchi ambao tayari wananchi hao wana mkataba huo mbovu mkononi. Kuwa mkataba huo waliyoushika mkononi unatija wakati ni mbovu. Mimi binafsi naona ni usaliti ubinafsi...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapewe mamlaka kamili ya kuwashtaki viongozi wanaoingilia majukumu yasiyo yao

    Tume ya maboresho ya mfumo wa haki jinai ikiwa imemaliza kazi yake na ripoti yake kuwasilishwa Kwa Mhe. Rais Kwa hakika mapendekezo yake kama yakifanyiwa kazi, mfumo wa upatikanaji wa haki Tanzania utaboreka na kuimarika. Na niseme kwamba maboresho hayo ni sawa na kuifumua katiba iliyopo na...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

    "Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Rais Samia hupendwi na Wananchi wengi

    Kuna sehemu wananchi umewakosea. Tafakari! Toka uanze kazi ni mikoa 2 tu sijatembelea nayo ni Kagera na Kigoma. Mikoa mingine yote nimefika na kujaribu kufanya utafiti wa kawaida. Hali ni mbaya, Siandiki kwa ubaya lakini ndiyo Hali halisi. Wengi wanakuongelea kwenye mtazamo hasi. Hata kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Igizo fupi la wananchi uuzwaji wa bandari kwa DP World

    Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi. Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa. Kula chuma hicho. My Take Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arumeru wakosoa maji kwa miaka 48 na kupelekea kupata magonjwa ya milipuko

    ADHA ya kukosa maji ya bomba kwa miaka 48 katika Kijiji cha Karangai, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imesababisha baadhi ya wakazi wake kuugua na kulazwa hospitalini kutokana na tishio la magonjwa kama vile amoeba, kichocho, typhoid na kuhara.
  17. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Wananchi Sengerema wapinga kubomolewa nyumba zao bila fidia

    Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema yafuatayo: 1. Watafanya upimaji hivi karibuni 2. Upimaji wa eneo la barabara ambao utajumuisha mita...
  20. JamiiForums Tanzania Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…