wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Wananchi changamkieni fursa za matibabu ya bure

    MBUNGE ASSA MAKANIKA: WANANCHI CHANGAMKIENI FURSA ZA MATIBABU YA BURE WANANCHI KIGOMA WAPATA MATIBABU BURE Madaktari Bingwa 11 kutoka nchini China 🇨🇳 wameweka kambi ya Siku 5 katika Halmashauri ya Kigoma ili kutoa matibabu ya bure kwa wananchi wa Kigoma na kutoa huduma za upasuaji na Masuala...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

    Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
  3. JamiiForums Tanzania Rais hajiulizi kwanini wanaomsifia ni wateule wake tu na si makundi ya Wananchi?

    Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk. Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake. Bado hastuki tuu kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iwahamasishe wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwa na makazi bora

    Lindi na Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo wananchi wake wana uhakika wa kupata fedha za pamoja tofauti na baadhi ya mikoa. Kuna msimu wa ufuta, vijana hupata mamilioni, msimu wa korosho wazee pamoja na vijana hupata mamilioni, msimu wa mbaazi pia huwapa mamilioni wakulima baadhi. Ila makazi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, mwitikio mdogo wa wananchi kwenye ziara za viongozi wakuu CCM unaponywa na vikao vya chama vya dharura?

    Kuna tatizo la mapokezi ya viongozi wa chama limejitokeza Manyara na Singida. Kuna mgawanyiko mkubwa umejitokeza jambo lililopelekea Nyalandu na Kabudi kurejeshwa jukwaani wakisaidiwa na askofu wa KKKT. Mwenyekiti ameona wazi kwamba safu iliyopo kwenye chama haijafanya kazi iliyokusudiwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu El niño Je athari za Mivua hizo Ni za wananchi Peke yake ? je miundombinu ya serikali Kama Madaraja na Tanesco wamejiandaaje?

    Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana.. Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi.. Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua daraja la Msingi na kuzungumzia na wananchi wa Mkalama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/Sk3eDgwDVE4?si=IVZq6ptc4k0M_NPb Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  9. JamiiForums Tanzania Singida: Rais samia azungumza na wananchi kuhusu uchumi, elimu na afya - uwanja wa Police square

    Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023 https://youtu.be/JIEFboO2SNY
  10. JamiiForums Tanzania JUKATA: Serikali bado inaendelea kubana Haki za Wananchi kupata Habari kwa kuzuia VPN

    Katazo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu matumizi ya mtandao binafsi (VPN) bila kibali maalumu, limewaibua wadau wa mawasiliano na siasa, wakisema hatua hiyo inalenga kubana upatikanaji na utoaji wa habari kidijitali. Katazo hilo lilitolewa juzi na TCRA kupitia taarifa yake kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  14. JamiiForums Tanzania Rukwa: Chongolo akiona cha moto, wananchi wampekekea maji machafu ili anywe

    Katibu Mkuu wa CCM , chama ambacho kimeasisi kila dhiki unayoiona Nchini Tanzania , Ndugu Chongolo , amegonga mwamba huko Rukwa , pale alipotembelea Jimbo la Kwela (ngome ya Chadema) Mbwembwe zote za Chongolo zilisha zenyewe baada ya wananchi kumletea maji machafu wanayoyatumia , hata baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rorya yaanzisha Program ya kufuata Wananchi, yapewa jina la 'POPOTE TUNAKUFIKIA'

    Wilaya ya Rorya imeanzisha program ya kuwafikia Wananchi Vijijini inayoitwa 'POPOTE TUNAKUFIKIA' ambayo imelenga kusogeza huduma karibu na Wananchi ambao hutembea umbali mrefu kufata huduma. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesisita wataendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya...
  16. JamiiForums Tanzania Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

    Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017. George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wasaidie wananchi wako Viziwaziwa mkoa wa Pwani

    Tunajua kuna Nguvu kubwa sawa na ile kanuni ya Newton 3rd law of motion maana kila hili likiwekwa hapa wahusika wanajitahidi nao kulizima, moderator mnapaswa kuwa sauti ya wasio na sauti kwa kweli maana hili jukwaa ni huru. Hoja ni hii, wakazi ndani ya mtaa wa Viziwa ziwa (VIMISA) Kibaha mjini...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa. Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya. Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
  19. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali, Matinyi: Nitahakikisha Wananchi wanajua Serikali inafanya nini, nasi tunajua wanataka nini

    Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Kampeni kabla ya NEC kutangaza uchaguzi ni uchuro na kuwakosea wananchi

    Nawaandikia wanachama wenzangu wa ccm popote pale mlipo! Kuna ka tabia kame zuka ka hovyo sana ka kuwapigia kampeni viongozi waliopo kabla ya muda wa uchaguzi wakati bado hawajatimiza KAZI waliotumwa na chama kupitia ilani yetu,Tabia hii huwatoa viongozi kwenye Reli na kuanza kufikiria uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…