Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Everine Munisi amesema taifa ni kubwa kuliko tofauti zozote zilizopo. Dkt. Munisi amesema masilahi ya wananchi yanapowekwa mbele,Tanzania hushinda.
Munisi ayasema hayo leo Ijumaa, Mei 8, 2026 bungeni jijini...