wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndejebi akiwa anaongea, unamuoma Msel/Muhimu ndio anaongea , et anakaza sura, anarembua sauti, 'Ndugu Wananchi '

    Daahh naangilia hii Clip ya Jamaa akitangaza KIFO cha Mume wa Samia, Hadi nacheka 😂😂 Jamaa anaongea Kihuni huni, kisela sela
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Vyama vya siasa vimekuwa kama makabila, vimewagawa wananchi. Hatuwezi kuita mikutano bila sare

    Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kujadili hali ya demokrasia nchini, kufuatia matukio na hali ya kisiasa iliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake juu ya mwelekeo wa...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Barabara Kijiji cha Kidemeni ni kubwa, inarudisha nyuma mwendo wa maendeleo

    Kidemeni ni miongoni mwa vijiji vinavyopatikana katika Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, wananchi wake wana kilio cha kutokuwepo kwa barabara ya uhakika, hivyo kudai inachangia kudumaza maendeleo yao. Kwa miaka kadhaa sasa, Zanzibar imeendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  5. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  6. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Eti waziri wa mambo ya ndani...eti shekhe(uchwara) mwaipopo alianzisha kikosi kwa ajili ya kuua wananchi alikua ana NIA NJEMA.. whaaat????

    HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana? HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Viongozi wanachochea wananchi kuzidi kudai katiba mpya

    https://www.instagram.com/reel/Dc8IZBMs-gw/?stkn=bmR4OHhueTUyZWFy
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania LIVE: Nchemba Akutana na Wananchi Ilongero

    https://www.youtube.com/live/vKnfRaMqeEI?si=VEfXN02_ql7yhs1V LIVE: WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 06, 2026, anazungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, pamoja na kusikiliza na kujibu hoja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!? Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Meya wa Dar Awaita Wananchi Kutoa Ushahidi Wa Ghasia Za Oktoba 29

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Tume ya Jaji Lila...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa hatujawapeleka huko kuwa wafalme bali kuwa watumishi wa wananchi - Rais Samia

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana waliyopewa kama wajibu wa kusimamia shughuli zote za Serikali katika maeneo yao. Rais Samia amesema hayo...
  14. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mwishawa: Ongezeni wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi

    Na. Philipo Hassan - Dodoma Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa, Agosti 31, 2026 amekielekeza Kitengo cha Mahusiano ya Jamii kuongeza wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi hususan jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa ili kuwawezesha...
  15. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta. Soma pia: Tume...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati za kimila: Mkombozi wa wananchi wa melela na Mikese mkoani Morogoro

    HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua inayowawezesha kutambuliwa kisheria na kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi. Akizungumza katika...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mitaani wananchi wanaamini mpishi wa Dk Nchimbi alikula chakula chenye sumu akafa. Serikali ipo kimya na haikanushi

    Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli. Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais kwa asiempenda anabadili any time, wananchi tusiempenda hatuwezi mtoa

    Narudia tena, Kwa Tanzania organization structure Iko hivi Mungu - Rais wa JMT/Rais - wengine Kiufupi kiutawala Tanzania , ukiacha Mungu alie Mbinguni, katiba yetu imetupa Mungu Binadamu ambaye ni Rais wa Tanzania. Ambaye kila mtu, raia, majengo, bahari, mahakama, bunge, jeshi, raia, ardhi...
Back
Top Bottom