wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Kijiji cha Sanya Station tupo hatarini, El-Nino inakuja, mto umejaa magogo, Viongozi wanatupa ahadi ila hazitekelezwi

    Wananchi, Wilaya ya Hai, Kata ya KIA, Kijiji cha Sanya station kuna changamoto ya Mto Sanya kujaa magogo na daraja kutokupitika yapata sasa zaidi ya miezi mitano. Hali hiyo ilitokana na kusombwa na mafuriko, hofu yetu kubwa ni kuelekea msimu wa mvua za El-Nino. Daraja hilo ndilo linauunganisha...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje? Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
  5. prida

    JamiiForums Tanzania Heche, kama Lema ana makandokando yako wakati sahihi wa wananchi kuyasikia ni sasa.Usibembeleze Lema asifanye press.

    Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Paternus Niyegira: Wananchi wanatakiwa kusimama bila uoga kuwajibisha Viongozi

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Paternus Niyegira, amesema kuwa wananchi ndio wenye mamlaka kuu ya kuwawajibisha viongozi kwa sababu wao ndio waliowapa mamlaka hayo kupitia mkataba wa kijamii na katiba. Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Septemba 16, 2026, Niyegira amesisitiza kuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matuta yaliyowekwa na Wananchi eneo la Chang'ombe Makaburini ni hatari sana

    Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha. Je, mamlaka husika hazioni changamoto hii? Ni muhimu hatua zichukuliwe ili kuhakikisha matuta hayo yanawekwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa CHADEMA wanazitamani pesa za upande wa pili, Kikwazo ni wananchi na viongozi wachache wakiongozwa na Lissu

    Inawezekana Kwa miaka mingi siasa za upinzani zimekuwa za maigizo ya kutengeneza pesa. Hapakuwa na viongozi wenye dhamira ya dhati kupigania mabadiliko na maendeleo ya nchi Na huo ndio utamaduni uliozoeleka , maigizo ya maandamano, kesi za mchongo baadae zinafutwa huku watu hao wakijuana wengi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai. Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf. Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao. Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wananchi wateketeza kwa moto shamba la mwekezaji wakitafuta panya kwa ajili ya kitoweo!

    Moto Mkubwa uliosababishwa na baadhi ya wananchi umeteketeza eneo la Mwekezaji Suba Agro katika Kata ya Kipande, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali amesema moto huo umesababishwa na wananchi walioukuwa wakitafuta kitoweo cha Panya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania KERO CCM juu? Wananchi wa Morogoro mto Lukosi, tunaishi kama Makomandoo baada ya miaka 60 ya Uhuru

    Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha. Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha. MY TAKE Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

    Kuna taarifa zinatembea chini kwa chini kuwa huenda mtume Boneface Mwamposa akanyanganywa madhabahu ya Kawe baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi kuhusu namna anavyowatendea waumini wanaotoka mikoani kuja madhabahuni kwake. Katika klipu moja inayotembea kwenye mitandao ya jamii...
  15. Nuel27

    JamiiForums Tanzania Je hali ya uchumi wa nchi kwa sasa inaakisi uboreshaji wa maisha kwa wananchi wake?

    Anaandika mwandishi na mchambuzi wa Clouds Media Group Farhan Kihamu ORODHA YA MASWALI YANGU KWA MBUNGE WANGU AYAPELEKE BUNGENI KWA MAWAZIRI HUSIKA. 1- Mheshimiwa Mbunge suala la sekta Ardhi na Makazi naomba ufikishe kwa Waziri wa Ardhi kuwa kitaani kwasasa haswa Mijini Chumba, sebule, jiko na...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Wananchi wenye hasira walivyompiga Daktari Bingwa wa Mloganzila aliyemshambulia Askari

    Ikumbukwe kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026, baadaye Jeshi la Polisi likatoa taarifa kuwa linamshikilia dereva huyo ambaye alitambulika kuwa ni Conrad Agonza Kayoza (35), Daktari Bingwa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na mkazi wa Lugalo na Mloganzila...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026. Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana! Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania. Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hata kama mnawapenda sana polisi nakemea kitendo cha wananchi kumshambulia mtu aliyekuwa akimpiga traffic police, wangemfikisha kituoni

    Ninatambua upendo wananchi walio nao kwa jeshi lao la polisi ila ninapinga wao kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mtu aliyekuwa akimpiga askari wa usalama barabarani. Kujichukulia sheria mkononi ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Wananchi walipaswa kumdhibiti mtuhumiwa na kumfikisha kituo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa, CCM si Malaika

    Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema "Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo...
Back
Top Bottom