wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Tanzania inawezaje Kuwasaidia Wananchi Kumudu Makazi ya Gharama nafuu?

    Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi. Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA hovyo sana, Mamba wakiua wananchi hawalalamiki mitandaoni. Ila akiuliwa na wawindaji wanalalama

    Mbona hamlalamiki sasa?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sana

    Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu kuu 3 kwanini mfuko wa NHIF unapitia changamoto nyingi katika kuhudumia wananchi

    Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola. Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :- 1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

    Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
  8. JamiiForums Tanzania RAISI SAMIA S.SULUHU BAADHI YA TAASISI WANATAKA UKOSE KURA.BARABARA YA KMR BONYOKWA WANANCHI WALIPWE

    MH RAISI SAMIA JANA NILIKUWA MAEENEO YA KiMARA BONYOKWAA KAAENEO KHA KUJIDAI NNILIPOFIKA NILIKUTA NDUGU NA JAMAA WAKIJILIWAZA NA KUONDOA STRESS ZA MAISHA GAFLA AKAJA BOSS WA BAR AKASEMA WAKUU SOON JAMAA WANATAKA KUTUONDOAA..NKAULIZA KIVIPI WAKASEMA BARABARA INAWEKWA LAMI..AJABU AWAJAPOKEA...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

    - Kukatika katika hovyo kwa umeme - Fukuza fukuza ya machinga - Kuongeza nauli hovyo hovyo - Ubovu wa miundombinu ya barabara - Kukwama kwa miradi mbalimbali - Mfumko wa kutisha wa bei - Rushwa iliyokithiri Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
  10. JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi Wagongwa Mihuri Kichawi Migongoni

    𝗪akazi wa wilaya ya ludewa mkoa wa njombe wamelalamika kugongwa 𝗠IHURI kimiujiza katika Maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha kilima hewa. Wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo liliripotiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wakufanya kongamano la kitaifa kutafuta dawa ya wahuwaji washenzi /vibaka kwa wananchi

    Ndugu zangu wana jf kwanza heli ya sikukuu popote mlipo na niwatakie kheli pia ya mwaka mpya 2024 popote mlipo na kwa kipee wanaccm na mwenyekiti wenu maana siasa sio ugonvi, ila ikumbukwe mwaka tunao maliza mmeliumiza sana Taifa la Bwana. Wakuu rejea kichwa tajwa hapo juu, mwaka 2023 unaenda...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani wananchi wanaweza kupata msaada wa kisheria

    Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani. Kuna mashirika mengi ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi: Kampuni ya Puma Energies imetoa msaada kwa wananchi wa Hang lakini wananchi wanamshukuru 'mama'

    Kampuni ya Puma energies imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi yenye thamani ya TSH 70 milioni kwa wananchi wa Hang waliokumbwa na janga la maporomoko ya udongo. Sijaelewa Logic ya hii dhana ya wananchi wa Hang kumshukuru 'mama' wakati waliotoa msaada ni Puma energies. Mama amehusikaje hapo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  17. JamiiForums Tanzania Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  18. JamiiForums Tanzania Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

    Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya na Iringa wananchi wamejenga nyumba za kijima

    Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne. Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu Za klabu Afrika zinazoongoza kwa kupiga Pasi Sahihi ( Wananchi #3)

    Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…