wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

    Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wananchi wote kwa kuiunga mkono serikali ya awamu ya 6 kwa hamasa sana

    Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan. Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakuu wa Mikoa ambao wananchi wanateseka na kero na hawasikilizi kero za wananchi

    Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
  6. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya: Wananchi wa Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa SGR wafike ofisini

    Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  10. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  11. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa kodi ya sherehe Moshi ni pigo jingine kwa wananchi wa wilaya hiyo.

    Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  13. De Rama Msirikale

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  14. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini Wananchi wa Tanzania Wanaweza Kufanya Kuchangia Maendeleo Endelevu?

    Utangulizi. Maendeleo endelevu ya taifa hayategemei juhudi za serikali na viongozi pekee, bali pia yanahitaji ushiriki hai wa wananchi wote. Wananchi wana wajibu wa kuchukua hatua katika nyanja mbalimbali ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii zao na taifa kwa ujumla. Nakala hii inafafanua...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  17. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo wananchi wake hawapotezi muda barabarani hasa katika majiji makubwa kutokana na foleni

    UTANGULIZI. NB: picha kwa hisani ya mtandao Tatizo la foleni ni changamoto kubwa katika maeneo mengi ya mijini...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

    Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee. Hakuna namna ya kuidhoofisha wala kuitenganisha CCM, wananchi na maendeleo, hawa ni daima sako kwa bako mpka kueleweka...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wananchi hawa nao lugha yao iwe ya pili ya taifa

    Wananchi hawa tunaishi nao ila tumewabagua kwa kuwaita "viziwi, bubu"! Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa hatuwashirikishi kwenye maongezi, tunawabagua japo tumezaliwa nao tumbo moja! Umefika wakati sasa tuwaite mezani tuongee nao kwa kutumia lugha moja bila kuwepo mtu wa kati, ili...
  20. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni yenye wananchi na viongozi wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu

    UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
Back
Top Bottom