Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 15,454
- 17,536
Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono...
Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi..
Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania kumezidisha imani na kuaminika kwa CCM ndani na nje ya Tanzania.
Ndicho chama pekee cha siasa nchini, chenye nia, dhamira na makusudio ya kweli na ya uhakika katika kutimiza ahadi, matarajio na ndoto za maendelo kwa waTanzania wa makundi mbalimbali, ukilinganisha na vyama vingine vya siasa vilivyo kosa kabisa uelekeo, sera na dira bali vimepambwa na uchu binafsi wa mali na madaraka miongoni mwa waandamizi woa, huku uzalendo wao ukiwa wa mashaka makubwa mno na urai wao usio aminika kabisa japo ni wa kuzaliwa 🐒
Uzalendo usio na shaka, bidii na uadilifu wa viongozi waandamizi wa CCM, daima imekua chachu ya uhalali CCM kutawala kidemokrasia na katika kila uchaguzi kupewa dhamana na ridhaa kubwa, nzito na muhimu sana ya kuwatumikia na kuwaongoza waTanzania..
Siku zote, CCM itaendelea kutawala kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi kwa uwazi, haki na usawa. CCM mara zote CCM na serikali yake sikivu, kuwajibika kulinda mipaka yote ya nchi, watu, makazi na mali za waTanzania wote, na daima amani na utulivu na utangamano wa waTanzania itakua ndio kipaumbele muhimu cha kwanza...
Hongera sana kamati mbalimbali za Chama, hususani kamati za siasa katika ngazi mbalimbali za chama kwa kazi kubwa mnazozifanya kufuatilia kwa karibu sana utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2020-2025.
Hiyo ndiyo ile CCM madhubuti..
hongera sana mwenyekiti wa CCM taifa comrade Dr Samia suluhu Hassan, kwa kuongoza na kusimamia hilo kwa vitendo..
Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒
Pia soma:Kuelekea 2025 - Kongole nyingi sana kwa mwenyekiti wa CCM taifa