wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Athari za nchi kukopa kupitiliza kwa miradi isiyo na tija ni kwa wananchi

    Wakuu, Mtafutaji, mhifadhi na mtoaji kilichowekwa kwenye mkoba kasoma bajeti yake ikinakisi ndio mahitaji ya nchi kujiendesha. Kudai kwamba nchi inakopa kwa sababu inauwezo wa kukopesheka na kulipa deni ni dharau kwa wananchi ambao ndio walipa kodi lakini wenyewe hawanufaiki na matokeo ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais. Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  4. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya ni matokeo ya Viongozi kutokusikiliza matatizo ya wananchi na kujiona wao ndiyo kila kitu

    Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi. Viongozi kutwa kucha kupitisha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyakazi na wananchi utakuwaje?

    Nawaza endapo wafanyakazi na wananchi kwa ujumla watajoini mgomo wa wafanyabishara unaoendelea hivi sasa nchini hali itakuwaje!!? Madai ya wafanyakazi; Madai ya wananchi; Nadhani kutachimbika nchi hii
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutumie rasilimali zetu tulizopewa na Mungu kukusanya pato la taifa kuliko kuwa na kodi na tozo kandamizi kwa wananchi

    Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa. Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au Tanzanite yakivunwa vyema na kisha kuuzwa taifa letu litanufaika na kuwa na pato kubwa. Hivi hii nchi...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania KIWANJA CHA NDEGE CHATO FANYENI CHUO CHA URUBANI LA SIVO MTAKUWA MMEPOTEZA PESA ZA WANANCHI

    Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu. Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali hujifanya kiziwi haki ya wananchi ikidaiwa kwa taarifa za media au maandamano, sasa migomo ndio iwe lugha mpya kwa Serikali hadi kieleweke!

    Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima! Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
  9. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha kwa wananchi ni ngumu kweli!? Ama tulizoea Dezodezo

    Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea. Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo). Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

    Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee Tanga...
  12. Amimu H Abdallah

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushiriki wa wananchi katika maandalizi ya bajeti ya nchi: Njia bora kwa maendeleo endelevu

    Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi wanashiriki katika mchakato mzima wa maandalizi ya bajeti hizi? Bila shaka, upo umuhimu mkubwa wa...
  13. Godyjons

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti namna unavyoweza kuchochea uwajibikaji nchi

    Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni ICELAND, USWIS,URENO, BRAZIL na AFRICA KUSINI. Hapa nitaeleza 1. Njia zitakazo pelekea uwajibikaji...
  14. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani, Wananchi Hawaelewi Kilichopo Kichwani Kwa Rais Wao ni nini!

  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tuhuma zinazobuniwa na upinzani zimeanza kuwatokea puani wenyewe, wananchi wakosa imani nao

    Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku. Hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja, sera, nia wala mikakati mbadala ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  17. 3

    JamiiForums Tanzania Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  19. realMamy

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo iwezeshe wananchi kujiamini

    TANZANIA TUITAKAYO IJIKITE ZAIDI KWENYE ELIMU YA VITENDO. Tanzania kama ilivyo kuanzia ilikotoka hadi sasa iliandaliwa kwa misingi bora na imara ingawa kuna watu wachache wasio waadilifu wanaharibu misingi hiyo. Yafuatayo ni mambo ya Muhimu yanayoweza kujenga Tanzania iliyo bora endapo...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wakilipa kodi ndio wataweza kuwadhibiti viongozi wao. Lakini sio kwa nchi yetu ambayo walipakodi hawafiki hata robo ya idadi

    Kwema Wakuu! Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo Kwa sababu watakaolipa kodi ndio watakaokuwa na uchungu na nchi. Watakaokuwa na uchuñgu na kodi wanayoitoa. Sasa kama...
Back
Top Bottom