wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

    Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR). Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaimani na Falsafa ya Rais ya 4R ituvushe salama kwenye uchaguzi, wengine wanachafua. Kulikoni?

    Mimi ni mmoja niliyevutiwa na falsafa ya 4R alizoziasisi Rais Samia. Na kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini, mashirika ya nchi za nje, mabalozi na wananchi walianza kumwelewa na kuamini kuwa safari nchi itaonja nuru ya uchaguzi ulio huru na haki ili wananchi wachague wanachokitaka. Baada ya...
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Wananchi ipeni thamani miradi ya minara kwa kutumia huduma za mawasiliano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo uwekezaji uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi hautakuwa na maana. Waziri Nape...
  5. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kuongoza hii nchi inahitaji kiongozi msela na dikteta wananchi sio maiti kama alivyosema kenyatta ni punda!

    KIchwa cha habari kimejieleza tayari punda haendi bila mijeledi utawala wa awamu ya tano ulikuwa bora sana kuwahi kutokea nchi hii kulikua na heshima sana husikii nguchiro anapiga kelele!
  6. Girland

    JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  7. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

    Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa? "8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo - (a) wananchi ndio msingi wa mamlaka...
  8. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi”

    Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya Polisi - Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umefanikiwa kuwa Rais wa Tz. Ni maswala yapi matano ungehakikisha ndani ya miaka 10 hayatakuwa tena kero kwa asilimia kubwa wananchi wako.

    KARIBUNI:
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi watakiwa kushirikiana na Serikali kupiga vita ukatili wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa Kijinsia ikiwemo Ubakaji na Ulawiti Watoto kwa kisingizio cha kujipatia mali au utajiri. “Hakuna...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wako busy na usajili wa Simba na Yanga, wanasiasa tumieni huu muda kusaka pesa za kampeni

    Bahati haiji mara mbili. Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RIPOTI YA THRDC-2023: Kiwango cha ushirikishwaji wa wananchi kwenye mambo muhimu yanayowagusa kipo chini

    Ripoti ya Mtandao wa Watetezi wa haki za binadamu (THRDC), iliyoangazia hali ya watetezi wa haki za binadamu na nafasi ya Kiraia nchini kwa mwaka 2023, imebaini kwamba kumekuwepo na ushirikishwaji hafifu wa wananchi kwenye masuala muhimu yanayowahusu hususani ya kisheria. Akizungumza Julai 5...
  13. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, kila tukio la jaziba za wananchi kunihusu, Itakuwa sehemu yangu ya kujirudi na siyo kukimbilia kuhukumu, Kikwete kwenye hili namkumbuka

    There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail! Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere, Wanawake...
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kilichoitafuna Chadema ni kutokurudisha ruzuku Kwa wananchi

    Chadema mlimwaga sera Kwa wananchi na wananchi na wananchi wakazikubali sera zenu wakakupeni kura zao mkazoa majimbo mengi tu na hatimaye Chama kikawa kinapata ruzuku kubwa sana Mkajisahau kama wananchi wanamchango mkubwa sana katika ruzuku mnazo zipata Mlitakiwa muwe mnarudusha shukran Kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamekuwa confused hawajui washike lipi. Ni kama wako in prisoners dilemma

    Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects. Kuna wale wanasema Samia anafanya mambo lakini wanasikia mikutano ya Chadema na kumproove wrong kwa trivial issues eti anauza bandari na...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Yusufu Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, zaidi ya Ndugu na zaidi ya Mwanayanga mbele ya Wanayanga wenzake

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake. (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

    Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kwa mataifa yaliyoshibisha wananchi wake, kwa Afrika hazitufai.

    Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna ile, #A perfect democracy is not for Africa. # wenzetu wachina waliona hili mapema sana wakaliepuka...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
Back
Top Bottom