wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Aga Khan mmekosa utu na kuweka mbele maslahi kuliko huduma kwa wananchi

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji. Ilinistua na nikalazimika kwenda mbali zaidi ili kujua sababu ya suala hilo. Hakika niliumia sana kuona...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Serikali itachukua hatua kuhakikisha Kampuni zinakamilisha ulipaji wa fidia kwa Wananchi

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa Wizara ya Madini inaahidi kuchukua hatua mbalimbali ili...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutegemea huruma ya Wananchi na kiki kupata umaarufu, kumeanza kuwaumbua Wanasiasa nchini

    Fikra na hali ya Wanasiasa kutegemea madhaifu yao ya kimwili au kiafya kuvutia au kupata huruma ya wananchi, imeanza kuadimika, kutoweka na kupotea kwa kasi sana nchini, huku ikiwaacha wanasiasa husika katika hali ya mshangao, majonzi na simanzi kubwa mno, kwamba hakuna tena hamasa kwa wanachama...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  5. Bruno Jewel

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wakihojiwa kwenye vyombo vya habari, kero zao wanaziwasilisha kwa rais na sio kwa viongozi wa mkoa au wilaya?

    Kumekuwa na tabia inayoendelea kushika kasi kwenye nchi yetu ya wananchi kutaka au kuwasilisha kero zao na matatizo yao moja kwa moja kwa rais, wakati huo viongozi wa mikoa na wilaya wapo na wameaminiwa na rais kumuwakilisha. Swala hili limeshika kasi sana katika nchi yetu ya Tanzania. Swali...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi. Kwa sasa hivi...
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  8. Tuko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara Morogoro

    Wananchi wa Mayanga, kata ya Lubungo mpakani na kata ya Lukobe wamefunga barabara inayopita maeneo hayo leo tarehe 12 mwezi wa nane 2024 kuanzia saa mbili asubuhi. Hadi kufikia saa sita mchana hamna kiongozi aliyefika hali inayosababisha mkwamo wa vyombo mbalimbali vya usafiri.... Sababu ya...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi (85%)wanawaza kujinufaisha wao kwanza

    Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali. 1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu. 2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi). 3. Miradi/tenda kubwa kubwa...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii Yanga ina wazee lazima ifungwe 4 bila na Simba

    Hapo vipi! Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/ Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa. Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Sheria yawaita Wananchi wenye changamoto za Kisheria waliopo Dodoma kwenda NaneNane

    Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma. Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

    Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  19. D

    JamiiForums Tanzania KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Majengo ya Hospitali (Mkuranga) yametelekezwa huu Mwaka wa 10 sasa, Wananchi tunaseka kupata huduma mbali

    Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani. Mgeni wetu huyo akatoa ushauri kuwa kama tuna maeneo tufanye mchakato wa kujenga Hospitali...
Back
Top Bottom