wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ‘Watumishi wa Kujitolea’ wanaotumika na Ofisi za Ardhi Manispaa ya Sumbawanga ni kero kubwa kwa wananchi

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Austerity ni ya Wananchi Tu? Serikali Yatumia Ksh 17.3B kwa Safari na Ksh 4.9B kwa Hospitality

    Jamani hii ni noma! Wakati wananchi wanaambiwa kubana matumizi na kukaza mkanda, ripoti ya Controller of Budget imefichua kuwa serikali ilitumia Ksh.17.3 billion kwa safari za ndani na nje ya nchi kati ya Julai 2025 na Machi 2026. Bunge liliongoza matumizi makubwa ya safari huku State House...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na USA: Maslahi ya Wananchi Kwanza

    Mahusiano ya kimataifa hujengwa kwa maslahi ya wananchi, si kwa kelele za mitandao. Tanzania na USA zimeendelea kuweka mbele biashara, uwekezaji na maendeleo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi au zinabaki kwenye hatua ya matangazo bila kuajiriwa?

    Mdau, naomba kuuliza na kupata ufafanuzi kuhusu suala la ajira hewa au ajira zisizotekelezwa kwa wakati. Ni kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi kwa wakati au zinabaki kwenye hatua ya matangazo bila kuajiriwa? Je, lengo ni kuwadanganya wananchi ili wawe na utulivu na matarajio...
  5. JamiiForums Tanzania Kero za Wananchi: Je, Ni "Petty Issues"?

    Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania. Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imesikiliza maoni ya wananchi inapoikubalia Kampuni ya MOFAT ombi LATRA kuziondoa Daladala Mbagala?

    Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Wananchi: Wajibu wa Kikatiba

    Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani wamejitokeza kuhoji mantiki ya ziara za Waziri Mkuu zinazolenga kusikiliza na kutatua kero...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, mabomba ya maji safi yanayopita mitaroni hayahatarishi afya ya wananchi, hasa ikitokea yamepasuka mtaroni? Wataalamu watuelimishe

    Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
  9. JamiiForums Tanzania Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  11. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kubadili Taswira Ya Usafi Buguruni, Wananchi 180,000 Kunufaika

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa uondoshaji majitaka wa Buguruni unaolenga kuboresha hali ya usafi wa mazingira kwa wakazi wa Kata ya Buguruni, mtaa wa mivinjeni. ‎‎Mamlaka ilisanifu mradi huu kwa lengo la...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Badala ya watawala kukomalia kusema hakuna maandamano 7/7, wangejiuliza kama kuna wananchi wana sababu za msingi za kutaka kuandamana siku hiyo

    Busara katika kukabiliana na jambo lolote unalotaka lisitokee, ni kujiuliza kama kuna sabau za msingi zinazofanya litokeee. Hapo utakuwa unaangalia chanzo, source. Sasa japo ni jambo la kuaibisha (embarrassing) kwa utawala wowote raia wake kuandamana. Inafedhehesha na inatia aibu. Hata...
  13. JamiiForums Tanzania John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA. Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi...
  14. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nikiona hoja za Wananchi najibu, nilijibu moja kwa moja kwenye JamiiForums

    https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
  15. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mazungumzo ya kuhamisha Wananchi wa Sinza yasifanyike kwa mafungu hotelini, tushirikishwe na uwazi uwepo

    Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji. Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kremlin ina kawaida ya kuwasaidia na kuwapa hifadhi marais fedhuli waliokataliwa na wananchi wake

    Viktor Yanukovych aliyekuwa rais wa Ukraine mwaka 2014 alikimbilia Urusi kufuatia maandamano makubwa ya wananchi yaliyopinga sera zake za upande wa Russia. Bashar al-Assad aliyekuwa rais wa Syria mwaka 2024 alikimbilia na kupewa hifadhi ya kisiasa Moscow baada ya utawala wake kuanguka. Nicolas...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Huduma kwa Wananchi Heshima na Ufanisi

    Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali Haitavumilia Kupuuzwa Haki za Wananchi

    Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…